Tafiti zinaonyesha 80% ya Wahalifu ikiwemo Wajambazi, wabakaji, wauaji, mashoga wamelelewa na Single Mothers yaani Fatherless

Acheni kuwaandama hao watu jamani
Eti watoto fatherless
Hivi kuna mtu duniani humu kazaliwa bila baba

Hatuzungumzii kuzaa au kuzaliwa.
Tunazungumzia Malezi

Single Mothers au fatherless inahusu wasiopewa malezi ya Baba.
 
Je hizo tafiti ni za mkabala gani (qualitative, quantitative au mixed methods?).. zimejikita sana kwenye mkabala upi?..
Tunaweza kufanya majumuisho "generalization" kupitia hizo tafiti?...
 
Je hizo tafiti ni za mkabala gani (qualitative, quantitative au mixed methods?).. zimejikita sana kwenye mkabala upi?..
Tunaweza kufanya majumuisho "generalization" kupitia hizo tafiti?...

Hatuwezi kufanya majumuisho kwa tafiti kama hizi hasa za kijamii
 
Lakini pia inategemea. Kama unavyosema familia inahitaji watoto walelewe na wazazi wote wawili. Inapotokea mzazi mmoja hayupo, inaleta shida. Utafiti ulio'share' umeonyesha tu sehemu moja. Labda tungepata kujua je watoto wanaolelewa na baba tu bila mama, wao ni asilimia ngapi wanakuwa watoto wasio na changamoto? Ni asilimia 90 au 100 au ngapi? Najaribu kufikiria baba akiwa mtafutaji anaamka saa 9 alfajiri na kurudi nyumbani saa 5 usiku, je yeye akiwa mlezi peke yake watoto wanakuwaje?
 

Hii ni kutokana jukumu namba moja la Mwanamke ni uzazi kisha malezi kwa mtoto
Baba kazi yake ni kuilinda na kutoa huduma za matunzo

Wababa hawahusishwi mambo ya malezi yaani kukaa na watoto
 
Honest

Andiko lako limekuja wakati muafaka na kudhihirisha udhaifu wa wachache katka jamii hasahasaa kwenye jamii kubwa ya mijini.

Nakupongezaa sanaaa

Tukitaka kujenga taifa lenye mafanikio teleee na ustawi wa kesho

Lazima suala la ndoa lipewee kipaumbeleee.

Wale wenzangu na mimi kataaa ndoa wasipotosheeeeee.

Na Wale sijui wanaojisifia Single mother you need to.learn here .

Wale walio na mpango wa kuvunja ndoa

Please nawasihii kwa imani ya ya Kikiristo tena ya KKKT nawaombea kwa Mungu awatatulie changamoto zenu na awafanyie wepesiii muishi na kudumu kwenye ndoa zenu mtulelee Taifa la kesho lilo boraaa

Yesu wangu akubariki sanaa
 
KWENYE UUMBAJI MUNGU ALIWEKA MTU MUME NA MTU MKE,
NA KILA MTU ANAWAJIBU NA MAJUKUMU YAKE KWA MWENZIE.
HAPA NDIPO USTAWI WA JAMII YOYOTE UNAPO ANZIA.

HIVI VITA VYA KUPAMBANA NA JINSIA NYINGINE NA KUJIFANANISHA NAYO.
NI KINYUME NA ASILI YA UUMBAJI, NA MATOKEO YAKE NDIO HAO.
NA MATOKEO HAYA HAYANA DAWA, HATA UKIKAZANA KUMUOMBA KRISTO HANA MSAADA.
NAFASI YA BABA NI MUHIMU NA LAZIMA,
KUPINGANA NA HII NI KUENDELEA KUVUNA LAANA KWA VIZAZI
 
Huwa nawatetea single mothers kama binadamu wengine ila ukitafakari ni wanawake wasiopaswa kuzingatiwa kwenye jamii ya watu wastaarabu. Wengi wao walizalishwa kwa kiherehere chao cha kukimbilia mapenzi kabla ya muda. Kibaya ni kwamba wakati wakiwa mapenzini kabla ya kuzalishwa huwa hawasikilizi mtu yeyote wakiwemo wazazi zaidi ya hao wanaume zao. Wakitelekezwa ndo hutia huruma nakuanza kujigongesha kwa wanaume waliowakataa mwanzoni kwa dharau. Kinachokera na kuumiza zaidi ni kuwa single mothers wote huendelea kuwa na mapenzi na wanaume waliowazalisha kwa maisha yao yote. Ikitokea mwanaume wake anataka kurudi basi atakuacha mchana kweupe bila kujali maumivu yako. Hata hawa single mothers waliofiwa na baba watoto zao ni wapumbavu kwasababu mapenzi yao huwa kwa marehemu zaidi na watoto wake. Utakubali kuoa mtu ambaye kila mwaka husherehekea birthday ya marehemu? SAY NO TO SINGLE MOTHERS.
 
singo maza!!!!! noma sana jamaa!!
 

Most of them but not all
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…