Tafrani yazuka msibani Tanga: Waombolezaji wakataa dua ya Waziri Masauni wakimtaka ajiuzulu

Tafrani yazuka msibani Tanga: Waombolezaji wakataa dua ya Waziri Masauni wakimtaka ajiuzulu

Wakimaliza ibada watampata wapi acha wamalizane nae hapohapo
Chadema huwa hawana adabu ibadan

Wengi hapo walikuwa wakristo wa Chadema

Waislamu hawakuxomea

Hawajaitendea haki ibada ya kiislamu

Kukiwa na dua hiyo ni sehemu nyeti kila mtu anatakiwa kutulia

Walichofanya Chadema sio sahihi
 
Chadema huwa hawana adabu ibadan

Wengi hapo walikuwa wakristo wa Chadema

Waislamu hawakuxomea

Hawajaitendea haki ibada ya kiislamu

Kukiwa na dua hiyo ni sehemu nyeti kila mtu anatakiwa kutulia

Walichofanya Chadema sio sahihi
Hawana adabu eneo la dua sio la zomea zomea hawakuwa na adabu kwenye dua
Ingekuwa padri anaongoza dua au mchungaji wangexomea?

Chadema hawajsutendea haki uislamu kwenye ibada yao
Ndugu, wakati mwingine kunyamaza kimya ni bora zaidi kuliko kusema kitu.
Katika suala hili, nakushauri wewe binafsi kwamba ni vyema ukanyamaza kimya ili kuwapumzisha wahanga walioathirika na janga hili baya.
 
Tatizo ni kutowepo kwa ushahidi wa waziri kuwa upande wa wauaji. Ushahidi una nguvu sana mahakamani, hizi tuhuma za JF na huko kwenye mitandao mingine hazina nguvu ikiwa huwezi kupelekea ushahidi unaojitosheleza mbele ya vyombo vya sheria.

Ni muendelezo ule ule wa serikali kivuli za mitandaoni, zinaanza kutoa maoni na kumaliza kwa mawazo huru yenye kutawaliwa na hasira nyingi.
tatizo lipo ni kuwepo kwa ushahidi wa serikali hasa viongozi wake husika kutokuwajibika. Hiv bibi katoa pole poleni$!?
 
Ingekuwa mimi huyo marehemu ni ndugu yangu yaani labda sasahivi ningekuwa lupango huyo waziri lazima ningemdhuru hapohapo msibani hata kwa panga.
Hizo ni dharau za hali ya juu
 
achana na mihemuko ya kidini hapa ndio maana kwenye hayo mazishi watu ahwakujali chochote unajua kuzomea unajua kwanini?,
Wewe Mungu? Dua inaelekezwa kwa Mungu wewe unaikatiza kwa kuzomea wewe ndie Mungu mjibu dua?

Watu dua ikipigwa hunyamaza sababu anayepelekewa ni Mungu sio wewe kibaka uliye kwenye mazishi
 
Sasa wangemaliza kwanza hiyo shughuli ya mazishi Kisha mambo MENGINE yafuatie.,ni ibada hiyo...
Wamefanya sahihi kumsemea mbovu hapohapo, akitoka hapo watampata wapi ??, Ujumbe umemfikia na aliyemteua amesikia, CCM ni wauaji, CCM ni genge la wahuni
 
Back
Top Bottom