Father Mkananayo
Member
- Sep 6, 2024
- 47
- 89
Nakubaliana nawewe jamaa mnafiki ajabu huyu. yeye alitakiwa awe mfano wa woteKama Mbowe kawazuia hao waombolezaji amekosea sana, mbowe ndie huwa anarudishaga nyuma sana mapambano nchi hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana nawewe jamaa mnafiki ajabu huyu. yeye alitakiwa awe mfano wa woteKama Mbowe kawazuia hao waombolezaji amekosea sana, mbowe ndie huwa anarudishaga nyuma sana mapambano nchi hii.
Chadema huwa hawana adabu ibadanWakimaliza ibada watampata wapi acha wamalizane nae hapohapo
Hawana adabu eneo la dua sio la zomea zomea hawakuwa na adabu kwenye duaWakimaliza ibada watampata wapi acha wamalizane nae hapohapo
Ingekuwa padri anaongoza dua au mchungaji wangexomea?Huo mfano wa kuigwa nchi ndipo inapoelekea sasa, inaanza kuchangamka,wasiishie hapo tu
Waziri alikuwa na support ya familia ya marehemu ambao wengi ni CCM.Kwani waziri lazima angee??
Halafu sasa sio porini ni hadharani kuonesha kwamba wanajiamini na wanalindwa!Haiwezekani watu wapotee halafu wanakutwa wameuliwa wameteswa, wanatupwa porini nchi ikae kimya. Ni wananchi wanatekwa na kuuliwa bila utaratibu wowote, labda serikali ndiyo inaratibu.
Chadema huwa hawana adabu ibadan
Wengi hapo walikuwa wakristo wa Chadema
Waislamu hawakuxomea
Hawajaitendea haki ibada ya kiislamu
Kukiwa na dua hiyo ni sehemu nyeti kila mtu anatakiwa kutulia
Walichofanya Chadema sio sahihi
Hawana adabu eneo la dua sio la zomea zomea hawakuwa na adabu kwenye dua
Ndugu, wakati mwingine kunyamaza kimya ni bora zaidi kuliko kusema kitu.Ingekuwa padri anaongoza dua au mchungaji wangexomea?
Chadema hawajsutendea haki uislamu kwenye ibada yao
tatizo lipo ni kuwepo kwa ushahidi wa serikali hasa viongozi wake husika kutokuwajibika. Hiv bibi katoa pole poleni$!?Tatizo ni kutowepo kwa ushahidi wa waziri kuwa upande wa wauaji. Ushahidi una nguvu sana mahakamani, hizi tuhuma za JF na huko kwenye mitandao mingine hazina nguvu ikiwa huwezi kupelekea ushahidi unaojitosheleza mbele ya vyombo vya sheria.
Ni muendelezo ule ule wa serikali kivuli za mitandaoni, zinaanza kutoa maoni na kumaliza kwa mawazo huru yenye kutawaliwa na hasira nyingi.
Hekima gani hiyo kwenye issue kama hiyo Mbowe anazingua sana.ujinga ama hekima
Mama! Mama! Mama! Mamaaa! Lah! Hallaullah dah! 😂😂😅😅 sijui akilala leo usiku ataota ndoto gani, hatokaa asahau mpaka kihama
Mda mwingine unaangalia hyo dua inasomwa na nani na mahala ganiHawana adabu eneo la dua sio la zomea zomea hawakuwa na adabu kwenye dua
Dua ya shetwaini haisikilizwi 😆😆😆😆Mda mwingine unaangalia hyo dua inasomwa na nani na mahala gani
Kwani hili umelijua leo? Wao wanahimiza watu walianzishe halafu likipamba moto wanakaa pembeni, wanaacha vijana wamwagike damuKama Mbowe kawazuia hao waombolezaji amekosea sana, mbowe ndie huwa anarudishaga nyuma sana mapambano nchi hii.
📌🔨Dua ya shetwaini haisikilizwi 😆😆😆😆
Dua inasomwa na shetani , yaani unafiki wa wazj.Mda mwingine unaangalia hyo dua inasomwa na nani na mahala gani
Wewe Mungu? Dua inaelekezwa kwa Mungu wewe unaikatiza kwa kuzomea wewe ndie Mungu mjibu dua?Dua inasomwa na shetani , yaani unafiki wa wazj.
Wewe Mungu? Dua inaelekezwa kwa Mungu wewe unaikatiza kwa kuzomea wewe ndie Mungu mjibu dua?
Watu dua ikipigwa hunyamaza sababu anayepelekewa ni Mungu sio wewe kibaka uliye kwenye mazishi
Wamefanya sahihi kumsemea mbovu hapohapo, akitoka hapo watampata wapi ??, Ujumbe umemfikia na aliyemteua amesikia, CCM ni wauaji, CCM ni genge la wahuniSasa wangemaliza kwanza hiyo shughuli ya mazishi Kisha mambo MENGINE yafuatie.,ni ibada hiyo...