Walihojiwa na kilichongaza ni jinsi walivyo point out
kuwa sio watu wa kawaida tu hawajui historia vizuri bali mpaka Waandishi wa habari
mfano waandishi wengi wanauita uwanja wa mpira wa Sheikh Amri Abeid ,
wana changanya na Karume
so inakuwa 'Sheikh Amri Abeid Karume'
watu wawili tofauti wanachanganywa....
Achilia mbali vitabu vya magwiji wa Lugha ya Kiswahili kama hao kuwa available Kenya zaidi
kuliko Tanzania...
Walihojiwa na kilichongaza ni jinsi walivyo point out
kuwa sio watu wa kawaida tu hawajui historia vizuri bali mpaka Waandishi wa habari
mfano waandishi wengi wanauita uwanja wa mpira wa Sheikh Amri Abeid ,
wana changanya na Karume
so inakuwa 'Sheikh Amri Abeid Karume'
watu wawili tofauti wanachanganywa....
Achilia mbali vitabu vya magwiji wa Lugha ya Kiswahili kama hao kuwa available Kenya zaidi
kuliko Tanzania...
Hivi umeshagundua kuwa vituo vingi vya runinga vya Kenya hutumia Kiswahili sanifu zaidi kuliko vya kwetu?
Napenda sana wale watangazaji wa NTV mimi....
Mbona inapatikana tokea kitambo tu...
Uzunguni wenyewe tabia zao za kupenda ushoga na juzi wamepitisha sheria ya ndoa za wanaume kwa wanaume na vyeti vya ndoa wanapewa vipi unaipenda hii tabia uzunguni?mswahili ni mtu wa ajabu ajabu asiyejitambua. wivu wa kijinga. mbeya. mnoko. wengi wanaishi uswahilin.
uzunguni hakuna mswahili kila mtu anaishi kivyake bila kufatiliana kama waswahili.
asante kwa ujumbe mzuri uliotupa. tutakuwa makin na waswahili.
Na kuwaza kinyume na awazavyo ndo unini sasa?
Ndo kunyume cha uswahili
swali;mswahili ni nani?
Mtu mwenye asili ya mwambao wa pwani ya Bahari ya hindi, aliye na asili ya kutumia kiswahili kama lugha yake ya asili na asiyekuwa na lugha nyingine ya asili.
Kimjinimjini, mswahili ni mtu asiye na maadili, anayeamini sana imani za kishirikina hata pale ambapo logic inaonyesha kuwa jambo ni la kawaida, asiyeaminika, pamoja na kuwa mwenye tabia ambazo ni kinyume na ustaarabu wa kawaida.
Kwenye nyekundu ulijisahau
kidogo, vinginevyo nakubaliana na maelezo yako kwa asilimia tisini na
tisa ila hapo kwenye samawati ungeweka neno "mantiki" lingefaa zaidi.
Asante.
Noted Mkuu
Mswahili ni yeyote mwenye asili ya
pwani ya afrika mashariki,
huwasiliana kwa lugha ya kiswahili,
ni binadamu mwenye fikra sahihi, ni
mdadisi, hughani mang'amuzi kwa
lugha ya kiswahili!...........
shukrani mkuu