Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Ni kweli mswahili ni vigumu sana kwenda na muda, wengi wao wanachelewa mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
-Mtu mjanja mjanjaKwani mswahili ni nani?
Sio mzungu tu. Mtu yeyote anaejielewa na anaejua thamani ya muda hufanya hivyo.Mzungu ukimwambia nitakuja SAA 10 kamili, ikifika SAA 10 kamili hujafika anaondoka anaenda kwenye shughuli zingine.
MkuuKwanza kabisa Uswahili ni kitu hasi, machukizo.
Hakuna binti duniani amewahi kusema nampenda sana yule kaka, ana mambo ya Kiswahili.
Mfano hai uliotumika kwenye habari za kitaifa wiki hii ni pale Sheikh Mkuu wa Rukwa, Bw. Rashid Akilimali aliposema:
“Wametukatalia kujenga msikitiki kwa kibri tu, wanasema hawataki Uswahili. Tunawapa mpaka Jumatano! Takbirrrrr... Alahu Akbar.”
Mkuu
mambo ndio hayooo!
Machukizo hapa ni nini? Kosa kuzungumza kiswahili? Nimejiuliza mengi ndipo nikapenda kujumuisha mawazo mengine.
Mimi ni mtanzania. Kabila yangu ni mswahili. Kama tunavyojua kiswahili ni lugha za asili kama kisukuma, kihaya, kizanaki. Nk na ni ukweli usiofichika kuwa eneo kubwa LA watanzania hawajui kiswahili.
Sifa kubwa na nzuri iliyoficha ni kuwa waswahili ndio watu pekee walionzisha harakati za kipigania Uhuru na kwa litambua hilo Mzee nyerere akawaenzi badala ya kuchagua kizanaki kuwa lugha ya taifa akachagua lugha ya kabila langu ya waswahili kuwa lugha ya taifa.
Hayo maneno ya mitaani hayatutii unyonge kwa sisi huwa tunayaweka kwenye kawa na khanga
Lkn mswahili ni nani? Pitia hapa
Pwani ya Swahili ni ipi. Video ya mswahili ni nani imetoa historia kiufasaha nafikiri kwa mwelewa ameelew mswahili ni nani sasa Hutu anatuambia nini?Hizo zote ngonjera tu,Mswahili ni mtu anayetokea katika pwani ya swahili na anaongea kiswahili..
Pwani ya swahili ni pwani ya bahari ya hindi kutoka Sofala msumbiji mpaka Mogadishu Somalia.Pwani ya Swahili ni ipi. Video ya mswahili ni nani imetoa historia kiufasaha nafikiri kwa mwelewa ameelew mswahili ni nani sasa Hutu anatuambia nini?
Asante Boss kwa mchango wako.Mshwahili ni mtu wa blabla nyingi plus ujuaji mwingi mvivu mbea na tapeli
Asante mkuu kwa taarifa yako, lakini hii Swahili coast nimeisikia kwako, naomba utupe reference umeitoa vitabu gani.Pwani ya swahili ni pwani ya bahari ya hindi kutoka Sofala msumbiji mpaka Mogadishu Somalia.