Tafsiri kamili ya kiswahili ya kitabu alichokuwa anakigawa mzungu kwa watoto, yaliyomo hayana tena shaka, sheria ifate mkondo !

Aisee, halafu mtu anatetea anasema ni exposure
Kuna positive exposure na negative, sio kila exposure ya kuiparamia

Nahofia jamaa ashapata hio negative exposure kwa vitendo
 
sijui katiba ya kingereza wanafahamu hawa wanaojua kila rangi hii simba au yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…