Tafsiri kwa Picha!

Picha haionyeshi miguu, there is a lot of messages out there too .................... trust me :smile:
 
...upo deep sana, duuuhhh!
Mpaka umenihuzunisha. Yeah, you might be right.
Ila kimtizamo huoni kuwa Mwanaume ame face 'a challenge' wakati Mw'mke ametoa mgongo?
mbona ya kutoa mgongo kawaida tu .............. mamaK akishapindua tu antoa mgongo mei nakabaroof mikono chini ya nyonyoz ...usingizi wa pono ..........:glasses-nerdy:
 
ha ha ha, hivi ume note jamaa yupo bare chested wakati mwanamke 'kalala na nguo?'
ana hila nini huyu?!

Ndio maana nikasema miguu ina message kubwa tu ............... chini unaweza ukakuta kalala na
jeans ................:smile-big:
 
Utabadilika vipi naye ukimgusa anakwambia, "Tafadhali naomba usiniguse." halafu anasogea mbali zaidi nawe.

Halafu ziko sna hizi ndani ya nyumba, mi huwa nawashaa sometyme ati jamaa kachepuka bila kujiuliza sababu .......... I am
not justifying the unjustifiable .............. just another way of lookin at it ....
 
the best way to avoid this one is to pray together before sleeping and to be a comedian, women like jokes alot... try it
Acid ................. not all of em ....:bowl:
 
Hongera kwa kupata anayesikiliza ................. wengine ukiuliza swali ............ jibu ni kimya ........... baada ya 5 minutes utasikia wanakoroma, wewe kesha alafu kesho yake ushindwa hata kufanya kazi junior alale njaa .......... ni mtazamo tu :bowl:
 
......Hapa bana walimaliza kufanya mchezo wa baba na mama, mwanamke hakufikishwa kunako(kileleni)......mwanaume baada ya kumaliza tu akaanza kukoroma ndio maana mdada anaonekana kama ana mawazo vileeeeeeeeeee!!!
ukiona ivo ujue siombunifu na hajui anataka nini, si unajaua wanaanza na sitaki nataka na at the end inakula kwao.........
 

Hahahh ................ :smile-big: na kweli maana uzalilishaji wa kunyima na tendo haujaniingia bado kama mmeshahlalisha, ......... ivi kuna
TAMA ...itabidi ianzishwe soon ..
 
Kaizer kwani wanakalia migongo?

Khanga za India zinamfaa kila bidada mradi tu awe mbunifu. Wawezaitumia hata kufungia kibwebwe kumchezea mwenzio ngoma.

yaah, nyonyoz pia zinakuwa easly reachable hahah sio lazima kalio tu ................
 

Siku nyingine ikiwa kweli umeumia isije ikawa tabuuu ...............ila umenimaliza mbana utakuwa unatumia nguvu nyingi namna hiyo
na ukiona hivyo ujue ulilikoroga wewe
 

Nyamayao, naogopa kukuona ... you can really get anything you want from a MAN :wink1:
 

...hawa lazima ndoa yao haijavuka hata honeymoon period.
Nilikwambia legs can tell a lot, si unaona hapo, sijui kapatula sijui nini,......... hapo wanavuta kasi ..........
 
the sred made ma day though it was closed ....................... bado nakombeleza .........:croc:
 
Du! huyu dada anamuhisi jamaa ana mtu mwingine sehemu sehemu, wamebishana, jamaa kaamua kulala kuepusha malumbano:tape:
 
Mi tafsiri yangu ni kuwa huyo jamaa anapenda sana mpango wa kando..... na pia huenda hata akiwa kwa 6x6 huwa anavuta hisia za wengi ili aweze kuachama kileleni....
 
Pengine palikuwa na ugomvi kabla ya kupanda kitandani
 
Kuna misunserstanding betwen the twos :smile-big:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…