Chauro
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 2,968
- 1,478
halafu dada wa nyuma ni kama alikuwa anavizia kitu unaona pozi hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
halafu dada wa nyuma ni kama alikuwa anavizia kitu unaona pozi hilo
ha ha ha ha!
hii imetulia sana hiihalafu dada wa nyuma ni kama alikuwa anavizia kitu unaona pozi hilo
mbona ya kutoa mgongo kawaida tu .............. mamaK akishapindua tu antoa mgongo mei nakabaroof mikono chini ya nyonyoz ...usingizi wa pono ..........:glasses-nerdy:...upo deep sana, duuuhhh!
Mpaka umenihuzunisha. Yeah, you might be right.
Ila kimtizamo huoni kuwa Mwanaume ame face 'a challenge' wakati Mw'mke ametoa mgongo?
ha ha ha, hivi ume note jamaa yupo bare chested wakati mwanamke 'kalala na nguo?'
ana hila nini huyu?!
Utabadilika vipi naye ukimgusa anakwambia, "Tafadhali naomba usiniguse." halafu anasogea mbali zaidi nawe.![]()
Acid ................. not all of em ....:bowl:the best way to avoid this one is to pray together before sleeping and to be a comedian, women like jokes alot... try it
Hongera kwa kupata anayesikiliza ................. wengine ukiuliza swali ............ jibu ni kimya ........... baada ya 5 minutes utasikia wanakoroma, wewe kesha alafu kesho yake ushindwa hata kufanya kazi junior alale njaa .......... ni mtazamo tu :bowl:...nachokupendea 1stLady huoni ajizi kutoa mtazamo wako kwa jinsia yako. Safi sana.
Ladies wengi naamini watakuunga mkono.
...THE KING, unatafsiri kwa mfumo dume weye...msome 1stLady hapo juu na mtazamo wake unaolenga hisia za kina dada/kina mama.
Anyway, kwa mtizamo wa kiumeni...unadhani ni busara kuuchapa usingizi na kumuacha mamsapu na simanzi bin majonzi tele?
Niliwahi kuusiwa, kutolala mpaka baada ya kulizungumza na kukubaliana kutatua jambo lililokera ili kesho yake mnaamkia na siku mpya na mambo mapya.
ukiona ivo ujue siombunifu na hajui anataka nini, si unajaua wanaanza na sitaki nataka na at the end inakula kwao...............Hapa bana walimaliza kufanya mchezo wa baba na mama, mwanamke hakufikishwa kunako(kileleni)......mwanaume baada ya kumaliza tu akaanza kukoroma ndio maana mdada anaonekana kama ana mawazo vileeeeeeeeeee!!!
Du, mazee hawa wadada wa siku hizi umvue bila ridhaa yake si kesho utajikuta kwa pilato na Tamwa wako pembeni wanakukoromea! usijaribu hiyo kitu kabisa, kama hataki na wewe una mahanjamu basi mkuu ingia zako bafuni na kipande chako cha sabuni, ukimaliza rudi zako kitandani geukia upande mwingine uvute usingizi!
Kaizer kwani wanakalia migongo?
Khanga za India zinamfaa kila bidada mradi tu awe mbunifu. Wawezaitumia hata kufungia kibwebwe kumchezea mwenzio ngoma.
cheka uongeze cku za kuishi....kuna kipindi alinigomea yeye kabisa, yaani alinichunia haswaa, bac shughuli ikanipata, mara upo jikoni unajifanya jiko limeleta shoti bac unapiga ka ukelele, akija huko c amekacrika? anakukuta umejilaza chini, ukishika mkono unalia, ukishikwa shingo unaumia, umepatwa na nn hujibu, ukishikwa kiuno hapo hapo na wewe unang'ang'ania,...lol nyumba zina mambo jamani....hapo huwa nampaga ya funga mwaka....hata kupikwa cku hiyo hakuna mtaenda kula nje.
cheka uongeze cku za kuishi....kuna kipindi alinigomea yeye kabisa, yaani alinichunia haswaa, bac shughuli ikanipata, mara upo jikoni unajifanya jiko limeleta shoti bac unapiga ka ukelele, akija huko c amekacrika? anakukuta umejilaza chini, ukishika mkono unalia, ukishikwa shingo unaumia, umepatwa na nn hujibu, ukishikwa kiuno hapo hapo na wewe unang'ang'ania,...lol nyumba zina mambo jamani....hapo huwa nampaga ya funga mwaka....hata kupikwa cku hiyo hakuna mtaenda kula nje.
Nilikwambia legs can tell a lot, si unaona hapo, sijui kapatula sijui nini,......... hapo wanavuta kasi ..........
...hawa lazima ndoa yao haijavuka hata honeymoon period.