Tafsiri kwa Picha!

Luv naona kama tupo sambamba..wewe bado kidogo tu tuwe sawa kabisa
Teamo kama asingeswekwa lupango, angeshafikisha 10,000 anatisha sana
HA HA HA!umeona eeh?!
tuachane na mambo ya lupango sasa!let's move on au vipi?!...
 
ha ha ha ha!
haya bwana!..........
lakini sijui lakini!nikishajitwisha chupa moja ya grants hayo mambo yatawezekana kweli?
 
nyamayao utanifanya nile BAN ya mkoloni huku kwa kucheka kwa nguvu ofisini daaah ha ha ha ha eti unampitia kwa kuvu

Jifanye umesahau kulala kikike mwenzangu ah nini kunyimana raha.

Mbu nasikia kama vile BAN inakuja vile
 
Tatizo maty unakosea wewe unasoma post huku unajenga picha kabisa kichwani ........hahahaha

Mwenzangu hata sijijui, sijitambui sijui ndo mwaita hangover za Mountain Dew lol.. nyamayao huyo na Mbu wameanzisha.

Picha lazima nijenge kichwani ati nacheka kujiletea afya halafu nahifadhi mana im sure 1 day i wana need it girl tukishakorogana naanza kukumbuka niliyoyaonaga JF naanza kufanya practize we acha tu
 
dah... kwa jinsi hii sredi inavyokwenda...

:boxing:😛opcorn::whoo::A S 114:😛uke:
 
nyamayao utanifanya nile BAN ya mkoloni huku kwa kucheka kwa nguvu ofisini daaah ha ha ha ha eti unampitia kwa kuvu

Jifanye umesahau kulala kikike mwenzangu ah nini kunyimana raha.

Mbu nasikia kama vile BAN inakuja vile

...ha ha ha!, unajitisha tu. :spy: Macho na maskio yapo kwenye uchaguzi mkuu, vile vile una 'sail within the rules' ...fungua chokileti nyingine basi,...:A S check_03:

Atakuwa na malaria kama sio malaria basi ana stress za mkoloni
 
nyamayao utanifanya nile BAN ya mkoloni huku kwa kucheka kwa nguvu ofisini daaah ha ha ha ha eti unampitia kwa kuvu

Jifanye umesahau kulala kikike mwenzangu ah nini kunyimana raha.

Mbu nasikia kama vile BAN inakuja vile
Orait, sasa naanza kuelewa lugha ya mwili.
 
Aisee hakuna mtu wa kuniongeza thank 1??
I really hate this number.....

Roya Roy JF Premium Member

Thanks 601
Thanked 666 Times in 463

st. roya!
 
Aisee hakuna mtu wa kuniongeza thank 1??
I really hate this number.....

Roya Roy JF Premium Member

Thanks 601
Thanked 666 Times in 463

st. roya!

Ha Ha Ha Muoga wewe ngoja niwasiliane na Sheikh Yahya
 
...ha ha ha!, unajitisha tu. :spy: Macho na maskio yapo kwenye uchaguzi mkuu, vile vile una 'sail within the rules' ...fungua chokileti nyingine basi,...:A S check_03:

Hahahhaha jamani na huu unene imekula kwangu chocolate siachi kamwe!! By the way nitumie via PM au blututh hahahaha

Sasa huyu paka ndo kusema?......
 
From now on "viewer's discretion is advised
 
Unajua ukiishi na mwenzio mnajuana, siyo siku zote watu lazima mlale kwa kukumbatiana au kufanya tendo la ngono. Kuna siku you feel to be alone in bed, ugeukie huku na mwenzio ageukie kule.

hawa ninachoona mimi ni wana relax.
 
Ha Ha Ha Muoga wewe ngoja niwasiliane na Sheikh Yahya

The Following 3 Users Say Thank You to Roya Roy For This Useful Post:
generation-Y (Today), maty (Today), The Finest (Today)

Unajua hii namba haiendi na utakatifu bana....ilikua inaweka upande wa pili...:smile-big::smile-big:
Thanks for the rescue..:second::bounce:
 
Hahahhaha jamani na huu unene imekula kwangu chocolate siachi kamwe!! By the way nitumie via PM au blututh hahahaha

Sasa huyu paka ndo kusema?......

Mwenzangu we huyu mbu naona leo hawatakii watu mema lol hizi saa za lalasalama zinaniendea vyema maana huyu mhasibu wetu kanikera mtanisamehe kama nimeenda nnje ya mada tarehe za mishahara tayari anachelewesha basi nilikuwa nna hasira balaa mpka nkawa na kahoma lo ile kuingia tu humu kila kitu kushney naenda lala ucngiz wangu murua leo lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…