MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
thanks swty, kwani hapo kwenye vinukta umeruka kuandika neno gan? anyways tusijechakachua sredi ya Mbu......
Ha ha ha ha ...........huna dogo weye??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
thanks swty, kwani hapo kwenye vinukta umeruka kuandika neno gan? anyways tusijechakachua sredi ya Mbu......
HA HA HA!umeona eeh?!Luv naona kama tupo sambamba..wewe bado kidogo tu tuwe sawa kabisa
Teamo kama asingeswekwa lupango, angeshafikisha 10,000 anatisha sana
ha ha ha ha!c umeona mdada kama ameanza ku smile? bac hapo kaka anahokoza anaacha anachokoza anaacha, sasa mdada temp ipo kiwango cha juu, hataki kuanza anataka alieanza amalizie, huyo kaka nae kazubaa, ikifikia hapo mkaka akijaribu tu kugusa kidogo mambo shwari, au mdada akiona amechokozwa halafu mkaka kakaa dk tano hajaendelea na uchokozi nae anamuhitaji ndio zile unanyanyuka kwenda toilet bac c unampitia kwa juu? hapo hapo unajifanya kama umeshuka kitandani vibaya...bac atakudaka....endelea na filamu hapo.
KAmanda ni kubwa kama umenuniwa na wewe unatamani kusawazisha mambo utaona ka miaka kweli vile!
nyamayao utanifanya nile BAN ya mkoloni huku kwa kucheka kwa nguvu ofisini daaah ha ha ha ha eti unampitia kwa kuvuc umeona mdada kama ameanza ku smile? bac hapo kaka anahokoza anaacha anachokoza anaacha, sasa mdada temp ipo kiwango cha juu, hataki kuanza anataka alieanza amalizie, huyo kaka nae kazubaa, ikifikia hapo mkaka akijaribu tu kugusa kidogo mambo shwari, au mdada akiona amechokozwa halafu mkaka kakaa dk tano hajaendelea na uchokozi nae anamuhitaji ndio zile unanyanyuka kwenda toilet bac c unampitia kwa juu? hapo hapo unajifanya kama umeshuka kitandani vibaya...bac atakudaka....endelea na filamu hapo.
Tatizo maty unakosea wewe unasoma post huku unajenga picha kabisa kichwani ........hahahaha
Mwenzangu hata sijijui, sijitambui sijui ndo mwaita hangover za Mountain Dew lol.. nyamayao huyo na Mbu wameanzisha.
nyamayao utanifanya nile BAN ya mkoloni huku kwa kucheka kwa nguvu ofisini daaah ha ha ha ha eti unampitia kwa kuvu
Jifanye umesahau kulala kikike mwenzangu ah nini kunyimana raha.
Mbu nasikia kama vile BAN inakuja vile
Orait, sasa naanza kuelewa lugha ya mwili.nyamayao utanifanya nile BAN ya mkoloni huku kwa kucheka kwa nguvu ofisini daaah ha ha ha ha eti unampitia kwa kuvu
Jifanye umesahau kulala kikike mwenzangu ah nini kunyimana raha.
Mbu nasikia kama vile BAN inakuja vile
Aisee hakuna mtu wa kuniongeza thank 1??
I really hate this number.....
Roya Roy JF Premium Member
Thanks 601
Thanked 666 Times in 463
st. roya!
...ha ha ha!, unajitisha tu. :spy: Macho na maskio yapo kwenye uchaguzi mkuu, vile vile una 'sail within the rules' ...fungua chokileti nyingine basi,...:A S check_03:
![]()
Nakuaminia kaka upusteazi kuko vizuri.Orait, sasa naanza kuelewa lugha ya mwili.
From now on "viewer's discretion is advised
:embarrassed1::embarrassed1::embarrassed1::A S new:From now on "viewer's discretion is advised
Ha Ha Ha Muoga wewe ngoja niwasiliane na Sheikh Yahya
Hahahhaha jamani na huu unene imekula kwangu chocolate siachi kamwe!! By the way nitumie via PM au blututh hahahaha
Sasa huyu paka ndo kusema?......