Tafsiri rahisi 3 za kutoonekana kwa jina la David Kafulila katika teuzi za Wakuu wa Mikoa Julai 28, 2022

kwangu mimi sijaona kosa kubwa la kumtoa labda kama anaandaliwa ukatibu na uwaziri


Uongozi katika serikali ni dhamana sio entitlement ya mtu/watu fulani.

Sio lazima ukosee, mwenye mamlaka ya uteuzi kaona mtu fulani ndio anaweza kumsaidia vizuri zaidi, tatizo liko wapi??

Tatizo lenu mkishapataga hivyo vyeo mnaanza kuhisi mliletwa humu duniani kua kwenye hizo nafasi milele na milele.
 
hakika
 
lakini hatutegemei mtu anae fanya vizuri atolewe kwenye system
 
Hakuna uteuzi wa juu Wala nn ,na Wala hakuwa mtendaji mzuri
 
Hivi nafasi za Rais kuteua wabunge zimeishaisha! Nimejikuta nawaza tu hivyo sijui kwanini?
 
Kumbuka alipoitwa Tumbiri ilikuwa awamu gani?
Alichokuwa anakipigania na kukipinga vikali Kafulila kilifanywa na nani?
 
Reactions: RNA
mamlaka zikijiheshimu zitaheshimiwa kama hazijiheshimu hazitaheshimiwa.
 
ninachohisi ni kwamba aligusa makubwa fulani.. nchi hii ukifanya kazi kama sera inavyotaka usitegemee kukaa sana sehemu... wakati wewe unafanya kumfurahisha mkubwa cha ajabu mkubwa huyo huyo ndio anakutoa sasa unabaki unajiuliza kosa langu liko wapi???
 
very possible
 
ni kweli aligusa kampuni ya ujenzi ya wachina pamoja na kuwasimamisha vigogo wa vyama vya ushirika.kwa wachina ni ma 10% ya wakubwa.
 
ni kweli aligusa kampuni ya ujenzi ya wachina pamoja na kuwasimamisha vigogo wa vyama vya ushirika.kwa wachina ni ma 10% ya wakubwa.
oohoo
 
Huyu aliwahi kutetea mambo ya uchumi wa magufuli kuwa unakuwa na akatoa milinganyo ya kufikirika sana . Nafikiri hata ingekuwa mimi ningesema kuna siku atanikoroga . Waswahili wanasema kukaaa karibu na mahakama si kujua sheria . Alijiona ni mchumi zaidi wakati wakati taifa lilikuwa linateketea
 
Cheo ni dhamana...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…