Uhakiki
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,288
- 7,704
Ndio
ioHivi mkewe ndie jesca kishoa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ioHivi mkewe ndie jesca kishoa?
kwangu mimi sijaona kosa kubwa la kumtoa labda kama anaandaliwa ukatibu na uwaziri
hakikaHoja kuu ni kupambania KATIBA mpya, itokanayo na RASIMU alosimamia Judge WARIOBA kabla haijachakachuliwa kuwa Katiba pendekezwa.
Watumishi waendelee kupaza sauti zao,
Wananchi tuendelee kupaza sauti juu ya mfumuko wa Bei za bidhaa na kupaa Kwa Bei za mafuta.
Mungu ibariki Tanzania. Amen
lakini hatutegemei mtu anae fanya vizuri atolewe kwenye systemUongozi katika serikali ni dhamana sio entitlement ya mtu/watu fulani.
Sio lazima ukosee, mwenye mamlaka ya uteuzi kaona mtu fulani ndio anaweza kumsaidia vizuri zaidi, tatizo liko wapi??
Tatizo lenu mkishapataga hivyo vyeo mnaanza kuhisi mliletwa humu duniani kua kwenye hizo nafasi milele na milele.
Hakuna uteuzi wa juu Wala nn ,na Wala hakuwa mtendaji mzuriHabari JF,
Kwa kusema ukweli kila mwananchi mzalendo alifurahiswa na kasi ya utendaji kazi wa aliyekuwa mkuu wa Mkoa Simiyu David Kafulila.
Hivyo hizi ndizo tafsiri 3 za kukosekana kwake ni either :-
1. Kutokana na utendaji wake amaandaliwa Uteuzi wa Juu zaidi au
2. Ameachwa kutokana na utendaji mbovu ambao wananchi ilikuwa Ngumu kuuona au
3. Serikali ya Awamu ya Sita ni vibaraka wa Mafisadi hivyo alikuwa anazuia upigaji usifanyike.
Ni hayo tu, God bless Tanzania.
Kumbuka alipoitwa Tumbiri ilikuwa awamu gani?Habari JF,
Kwa kusema ukweli kila mwananchi mzalendo alifurahiswa na kasi ya utendaji kazi wa aliyekuwa mkuu wa Mkoa Simiyu David Kafulila.
Hivyo hizi ndizo tafsiri 3 za kukosekana kwake ni either :-
3. Serikali ya Awamu ya Sita ni vibaraka wa Mafisadi hivyo alikuwa anazuia upigaji usifanyike.
Ni hayo tu, God bless Tanzania.
🙌Kumbuka alipoitwa Tumbiri ilikuwa awamu gani?
Alichokuwa anakipigania na kukipinga vikali Kafulila kilifanywa na nani?
Bado vp kwani ?Hivi nafasi za Rais kuteua wabunge zimeishaisha! Nimejikuta nawaza tu hivyo sijui kwanini?
mamlaka zikijiheshimu zitaheshimiwa kama hazijiheshimu hazitaheshimiwa.Kwa hiyo akirudishwa katika nafasi ya juu itafuta "Serikali ya vibaraka wa mafisadi!" Kumbe hizo tuhuma zako ni imagination tu hazina uhalisia wowote.
Pili, mbona hukujiuliza hiyo Serikali unayoituhumu kitoto ndiyo ilimteua na kumpa nafasi ya kuongoza mkoa?
Tatu, unajua cheo cha umma ni dhamana? Leo wewe na kesho yule?
#Tuheshimu mamlaka ya uteuzi.🙏🙏🙏
Hakikamamlaka zikijiheshimu zitaheshimiwa kama hazijiheshimu hazitaheshimiwa.
Nani mtendaji mzuri?Hakuna uteuzi wa juu Wala nn ,na Wala hakuwa mtendaji mzuri
very possibleninachohisi ni kwamba aligusa makubwa fulani.. nchi hii ukifanya kazi kama sera inavyotaka usitegemee kukaa sana sehemu... wakati wewe unafanya kumfurahisha mkubwa cha ajabu mkubwa huyo huyo ndio anakutoa sasa unabaki unajiuliza kosa langu liko wapi???
ni kweli aligusa kampuni ya ujenzi ya wachina pamoja na kuwasimamisha vigogo wa vyama vya ushirika.kwa wachina ni ma 10% ya wakubwa.ninachohisi ni kwamba aligusa makubwa fulani.. nchi hii ukifanya kazi kama sera inavyotaka usitegemee kukaa sana sehemu... wakati wewe unafanya kumfurahisha mkubwa cha ajabu mkubwa huyo huyo ndio anakutoa sasa unabaki unajiuliza kosa langu liko wapi???
oohooni kweli aligusa kampuni ya ujenzi ya wachina pamoja na kuwasimamisha vigogo wa vyama vya ushirika.kwa wachina ni ma 10% ya wakubwa.
Huyu aliwahi kutetea mambo ya uchumi wa magufuli kuwa unakuwa na akatoa milinganyo ya kufikirika sana . Nafikiri hata ingekuwa mimi ningesema kuna siku atanikoroga . Waswahili wanasema kukaaa karibu na mahakama si kujua sheria . Alijiona ni mchumi zaidi wakati wakati taifa lilikuwa linateketeaHabari JF,
Kwa kusema ukweli kila mwananchi mzalendo alifurahiswa na kasi ya utendaji kazi wa aliyekuwa mkuu wa Mkoa Simiyu David Kafulila.
Hivyo hizi ndizo tafsiri 3 za kukosekana kwake ni either :-
1. Kutokana na utendaji wake amaandaliwa Uteuzi wa Juu zaidi au
2. Ameachwa kutokana na utendaji mbovu ambao wananchi ilikuwa Ngumu kuuona au
3. Serikali ya Awamu ya Sita ni vibaraka wa Mafisadi hivyo alikuwa anazuia upigaji usifanyike.
Ni hayo tu, God bless Tanzania.
ndio yeyeHivi mkewe ndie jesca kishoa?
Cheo ni dhamana...!Habari JF,