Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,729
- 2,851
Wacha sindano iwaingie wapenda kuinamia beberuTatizo lipo kwenye utekelezaji hiyo ahadi,matendo yaonyesha mipango ya kuiba kura imekamilika kwa kupitia engua engua,Ma DED,WEO,VEO na Tume kiujumla.Matendo wanavyowatendea wapinzani vinadhihirisha kuwa uchaguzi huru ni kwa CCM ila wapinzani wananyimwa hata kusafiria vivuko vya umma,ambapo pia wameikosesha serikali mapato yake halali ya nauli/kodi ya abiria na magari yao halafu aliyeagiza hayo bado yupo ofisini ilhali ni mhujumu uchumi!CCM mshipa wa aibu ulipata electric shortage?
Muulize Tundu mpaka anakuja anasema Corona ipo na sasa havai hata baracoa, ye yeye haogopi corona?
Alisema tutajuta kuhusu makinikia, sasa atwambie tutjuta lini?