Tafsiri sahihi ya ubeberu

Tafsiri sahihi ya ubeberu

Tatizo lipo kwenye utekelezaji hiyo ahadi,matendo yaonyesha mipango ya kuiba kura imekamilika kwa kupitia engua engua,Ma DED,WEO,VEO na Tume kiujumla.Matendo wanavyowatendea wapinzani vinadhihirisha kuwa uchaguzi huru ni kwa CCM ila wapinzani wananyimwa hata kusafiria vivuko vya umma,ambapo pia wameikosesha serikali mapato yake halali ya nauli/kodi ya abiria na magari yao halafu aliyeagiza hayo bado yupo ofisini ilhali ni mhujumu uchumi!CCM mshipa wa aibu ulipata electric shortage?
Wacha sindano iwaingie wapenda kuinamia beberu
Muulize Tundu mpaka anakuja anasema Corona ipo na sasa havai hata baracoa, ye yeye haogopi corona?
Alisema tutajuta kuhusu makinikia, sasa atwambie tutjuta lini?
 
Sawa Mboga Mboga ukimaliza pitia hapa kisha haraka sana mjitahidi kumtafutia matibabu mwenyekiti wenu.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Amani Msumari,

..wengine sie wagumu kuelewa.

..hebu tupe mifano michache kuhusu ubeberu.

..kwa mfano, unaweza kumtaja kiongozi wa nchi ya Afrika/dunia ya tatu, alivyoshirikiana na mabeberu[unataja nchi au kampuni], kuhujumu ktk mradi au rasilimali fulani.
 
Rejea post number 41 ya uzi huu.
 
Hii ni lishaizungumzia umetumia silaha ya kujengea mtu hofu kumshambulia Mh Rais wa JMT na Amiri Jeshi Mkuu. Ila kwa JPM tumaneno hutu hatufui dafu. Mbinu hii mliitumia sana wakati wa Kikwete na mlifanikiwa na ilikuwa miradi yenye kuandikiwa andiko la kiutekelezaji ili kuondoa hofu ya rais asiye jiamini na mtegemea mngolitini.
Hata ulichoandika Mimi sijaelewa labda umetumia lugha ya kilumumba😂😂😂😂
 
Amani Msumari,

..wengine sie wagumu kuelewa.

..hebu tupe mifano michache kuhusu ubeberu.

..kwa mfano, unaweza kumtaja kiongozi wa nchi ya Afrika/dunia ya tatu, alivyoshirikiana na mabeberu[unataja nchi au kampuni], kuhujumu ktk mradi au rasilimali fulani.
Wapo wengi tuu akina marehemu Mobutu sesesseko kuku wazabanga, Bokassa, Gen San Abacha, Jonas Savimbi, Joseph Konyi n.k
 
Ni wazi kuwa umekurupuka au hujaelewa bandiko langu kwani usingejibu ulivyojibu. Soma kwa kutulia
Nadhani amekuelewa vizuri tu. Kwamba wanapokupa misaada wanakua Wahisani. Haohao wakihoji kuhusu haki za binadamu, uhuru wa habari, kujieleza au demokrasia wanaùbadilika wanakua mabeberu. Lisu akiongea na mabalozi wanakua mabeberu. Bashiru akiongea nao sio mabeberu.
 
Hiyo ni tafsiri yenu
 
Uko sahihi asante kwa kuwaelimisha maamuma wa lissu. Eti kibaraka wa ubeberu lissu yeye anakataza tusiwaite mabeberu kwa hili jina lao eti wanatupa msaada na vitu vinatengenezwa kwao kwa hiyo tuwahusudu. Sijui huyu mnyaturu kasoma nchi gani maana amebwaga moyo kwa wazungu kwa kukubali wako sawa kila kitu hadi wakitaka aolewe anaweza kukubali.
 
Gas curse: Mozambique's multi-billion dollar gamble on LNG

Kwangu mimi hiyo nakala ‘sums up’ tafsiri ya ubeberu leo. Tena hapo awajazungumzia kwa kina athari ya TOTAL mpaka sasa kukopa $16 billion from the market katika uwekezaji wa $23 billion.

Reserves yenye ya Gas iliyopo Mozambique kulingana na sources mbali mbali average unaweza hitimisha thamani yake ni $50 billion itakayovunwa katika miaka 25, imagine mradi kama huo halafu mpaka sasa $16 billion ni market raised inayotakiwa kulipwa in 15-20 years. Kwa deni hilo la sikoni iwapo average interest ya deni lote ni 5% si biashara kichaa hiyo Mozambique wanapata nini zaidi ya LNG plant na ajira; bado hapo kuna $7 billion za kurudisha kwa TOTAL na wanataka share of profits juu.

Wao mabeberu watu kama US bank wamekopesha $5 billion katika hilo sio wanataka walipwe tu bali viwanda vyao vipate tender ya ku supply machinery katika ujenzi, na wakopaji wengine kama India, UK, Japan, France na private banks kila mtu ana interest zake.

Kujenga refiniries kubwa ivyo kwa Gas inayovunwa kwa miaka 25 ni ujinga uliopitiliza, sisi huku kwetu unakuta watu wamenunua viwanja Lindi wana push serikali ianze mradi bila ya kujali hasara zake muhimu kwao wapate chao.

Huku nako kuna wanasiasa wasiojua lolote kuhusu mambo ya uwekezaji kama Zitto Kabwe wanaropoka ovyo na wanatoa pressure serikalini hivi analifahamu deni la $33 billion au analisikia tu.

Hakuna nchi Africa inayohitaji refinery inayozidi $5 billion hizo costs zingine ni ubeberu tu.
 
Wangepatikana viongozi wa tano ivi hapa Tanzania wa aina ya Magufuli mbona hii vita dhidi ya ubeberu ingekuwa rahisi mno, wazangu wangeona rasilimali za Tanzania zinanuka
 
Wangepatikana viongozi wa tano ivi hapa Tanzania wa aina ya Magufuli mbona hii vita dhidi ya ubeberu ingekuwa rahisi mno, wazangu wangeona rasilimali za Tanzania zinanuka
Ukweli mtupu, wangekuja kwa adabu.

Tundu Lissu anawaaminisha kupitia Amsterdam na mabeberu wenzake watanzania ni watu poa sana.
 
Mabeberu wajanja sana, wanamtandika mtu risasi za kuwindia ndege na sehemu wanayolenga ni miguu ili asife, kisha hao hao wanamtibia kwao huko wanampandikiza chuki kwa nchi yake kisha wanamtumia. Mazwazwa bila kujua wanaunga tela kumbe mtu wao mabeberu wameishamuwekea memory card mpya kwenye kichwa chake na uraia wameishampa iwapo mambo yakienda kombo anarudi kwa waliomtumia!
 
Back
Top Bottom