Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 10,002
- 16,240
Ukitaka kutambua siri iliyojificha ambayo haina ushahidi wa kutosha kwa macho ya nje unahitaji sana kujua ulimwengu wa roho,
Mchawi ni mtu wa kiroho ndio maana anaweza kufanya mambo mengi ya ajabu ambayo binadamu wengine hawawezi, ni ujuzi na maarifa (elimu) anakua nayo.
Ipo hivo hata kwa mtu wa kiroho asiyekuwa mchawi, mfano nabii uwa ni watu wenye elimu na uelewa mkubwa.
Kwanza sifa ya Mbwa ni rafiki wa binadamu, pia mbwa ni silaha anaweza kukukinga na maadui au kukuzulu kama adui.
1. Kucheza na mbwa au kulindwa na Mbwa.
Mbwa ni watu walio karibu na wewe, kwahiyo watu wa karibu yako ndugu na rafiki, wanakulinda na wapo upande wako.
2. Kukimbizwa na mbwa.
Maana yake ni kuwa roho ya uzinzi imekukamata, na unaangaika kutoka, mbwa wanakukimbiza.
(Mbwa ufatana sana ili wakatiane😁)
au kuna watu wanakushauri vitu viovu na unashindwa kuwakwepa.
3. Kuumwa na Mbwa.
Maana yake ni kuwa kuna mtu ambaye ni wakaribu sana na wewe ambaye tayari anajua udhaifu wako kwa kuwa unamchukulia kama rafiki wa dhati kumbe ni adui aliyejificha. anaweza kuwa mpenzi wako.
Be smart 💪🏾