mlimilwa
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,384
- 3,587
kutafsiri ndoto kunatakiwa ujue funguo za kila kitu au kila tukio unaloliona kwenye ndoto. ulimwengu wa ndoto ni ulimwengu wa nafsi.Mkuu juzi juzi nimeota naangaliana na simba uso kwa uso uku kuna jamaa wangu wakinisii kwa pembeni kimbia joeee
Lakini nilijikuta naangaliana naye jicho kwa jicho mpaka yeye akanipisha uku akiwa kama naye aamini anachokiona ata mimi nikiwa siamini kwamba simba kanikwepa
Hii ina maana gani
hivyo ukimtafsiri mnyama simba ktk ndoto anatafsiliwa kama mfalme. anaweza kuwa bosi wako ktk kazi au mume kwa wanawake.
hii inaonesha kuna kosa ulilifanya na umehisi bosi wako au mume amegundua ila huna uhakika na kwa upande wake nae amehisi kuna kitu hakiko sawa ina hana ushahidi wa tatito.hivyo ngoma droo. yeye hajagundua kitu na wewe umejikaza kijasili.