Tafsiri ya Ndoto: Ukiona Mbwa (Dog) kwenye ndoto

Tafsiri ya Ndoto: Ukiona Mbwa (Dog) kwenye ndoto

inategemea sasa unaota mnafanyaje,

mfano mimi niliwai kuota ndoto nasalimiana na babu yangu, ila ameisha kufa.
Mimi km wiki mbili zilizopita nilimwota mfanyakazi mwenzetu ambaye tangu afariki ni mwaka sasa,
Nilimwota napishana naye njiani tukaongea mawili matatu......
Nilipoamka nikaikemea sana ile ndoto,
Maana sielewi kwa nini nilimwota
 
hapo kwenye mliongea nini ndio uwenda kunamajibu yote.

Kupata tafsiri ya ndoto, ni lazima uchunguze ulihisi na kusikia nini kwenye kila tukio.
 
Back
Top Bottom