Hilo neno thibitisha huwa linawanyima kujifunza mambo mengi sana linafungia mawazo yenu ndani ya box.Haujajibu hoja , Thibitisha ulichosema ni kweli na sio blabla tu za kiimani
Hakuna kujifunza kwa imani tu.Hilo neno thibitisha huwa linawanyima kujifunza mambo mengi sana linafungia mawazo yenu ndani ya box.
Dream symbolism is highly personal and subjective, influenced by an individual's unique experiences, cultural background, and psychological makeup.Nikiota inafukuzwa na mbwa huwa napata pesa,
Pia linasaidia kuchuja taarifa maana siku hizi kila mtu ana uhuru wa kusema chochote kile haijalishi ni cha kweli au sio, pia hizi information ni psychological unaweza kumpeleka mtu kwenye mawazo ambayo sioHilo neno thibitisha huwa linawanyima kujifunza mambo mengi sana linafungia mawazo yenu ndani ya box.
Imani ni neno tu ila kinacho matter ni athari ama matokeo ya unachojifunza bila kujali ni imani ama si imani. Mfano sayansi si imani ila huko huko watu hutofautiana huyu anafuata hivi na yule anafuata vile na wote wanakwambia ni sayansi, sasa wewe unashangaa kujifunza kwa imani wakati imani inatibu kabisa nini kujifunza au hujui kuhusu placebo effect?Hakuna kujifunza kwa imani tu.
Imani ipo sikatai ila hatma yake ni uthibitisho ili imani yako iwe hakika kwani kipi kiarabu hapo ?Imani ni neno tu ila kinacho matter ni athari ama matokeo ya unachojifunza bila kujali ni imani ama si imani. Mfano sayansi si imani ila huko huko watu hutofautiana huyu anafuata hivi na yule anafuata vile na wote wanakwambia ni sayansi, sasa wewe unashangaa kujifunza kwa imani wakati imani inatibu kabisa nini kujifunza au hujui placebo?
Hilo linatumika kupinga taarifa na sio kuchuja, maana wengi wenye kulitumia hutumia ili kutaka kuonyesha kuwa unachosema si kweli.Pia linasaidia kuchuja taarifa maana siku hizi kila mtu ana uhuru wa kusema chochote kile haijalishi ni cha kweli au sio, pia hizi information ni psychological unaweza kumpeleka mtu kwenye mawazo ambayo sio
Sio imani kuwepo tu bali nimezungumzia kuwepo kwa athari yake yani kuona matokeo yake, sasa wewe umekaa unasubiri mtu aje kuthibitishia ulimwengu.Imani ipo sikatai ila hatma yake ni uthibitisho ili imani yako iwe hakika kwani kipi kiarabu hapo ?
Athari zinathibitishaje uwepo wa kitu wakati athari hizo hizo zina shindwa kuthibitisha uwepo wa Athari na visababishi vya athari na vinavyosababisha athari na kuendelea pasipo hitimisho?Sio imani kuwepo tu bali nimezungumzia kuwepo kwa athari yake yani kuona matokeo yake, sasa wewe umekaa unasubiri mtu aje kuthibitishia ulimwengu.
Ndio maana nakwambia shida yako au yenu ni kutaka kuona mtu aje kuuthibitishia ulimwengu, ndio maana wewe hapo unaweza kupinga hata kitu ambacho hukijui kwa sababu tu hakuna mtu aliyeweza kuthibitishia ulimwengu kuhusu hicho kitu au kwamba hakuna uthibitisho wenye misingi ya aina fulani kuhusiana na hicho kitu.Athari zinathibitishaje uwepo wa kitu wakati athari hizo hizo zina shindwa kuthibitisha uwepo wa Athari na visababishi vya athari na vinavyosababisha athari na kuendelea pasipo hitimisho?
Kwahiyo unamini hakuna mambo ya ulimwengu wa roho au?Thibitisha