kutafsiri ndoto kunatakiwa ujue funguo za kila kitu au kila tukio unaloliona kwenye ndoto. ulimwengu wa ndoto ni ulimwengu wa nafsi.Mkuu juzi juzi nimeota naangaliana na simba uso kwa uso uku kuna jamaa wangu wakinisii kwa pembeni kimbia joeee
Lakini nilijikuta naangaliana naye jicho kwa jicho mpaka yeye akanipisha uku akiwa kama naye aamini anachokiona ata mimi nikiwa siamini kwamba simba kanikwepa
Hii ina maana gani
Nimesahau sikumbuki yote, ila nakumbuka nilisalimiana naye, na nikamwomba namba ya simu, akasema hana simu, na nilimwona kanenepa kuliko vile alivyokuwa hai,hapo kwenye mliongea nini ndio uwenda kunamajibu yote.
Kupata tafsiri ya ndoto, ni lazima uchunguze ulihisi na kusikia nini kwenye kila tukio.
Kweli haikua ndoto nzuri wewe kuomba namba ya marehemu, yani maana yake kuna vitu unavutiwa na huyo marehemu.Nimesahau sikumbuki yote, ila nakumbuka nilisalimiana naye, na nikamwomba namba ya simu, akasema hana simu, na nilimwona kanenepa kuliko vile alivyokuwa hai,
Kulikuwa na mwanamke jirani yetu akawa anamtania Marehemu
"ukitoa namba naenda kusema kwa mkeo"
Ila baada ya wiki kuna hizi homa za kama COVID zinazotembea hivi karibuni ilinipiga hatari, namshukuru Mungu kwa sasa nimepona.
itakua kuna mtu unamfahamu wewe na baba yako.huyo mtu alikuja kumuomba msaada fulani hasa wa kifedha kama vile kuazima au kusaidiwa. lakini jambo hili na wewe ukaliingilia kati kwa kuzuia mtu yule asipate anachokitaka kwa baba yako,na ukafanikiwa kuzuia hilo.na mtu huyo kaondoka zake.Mkuu
Juzi kati niliota ,Kuna mbwa mwitu alionekana mazingira ya home ,katika mzee wangu kumfukuza kiroho safi ghafla akageuka na kumjeruhi mzee japo SI Sana ila eneo la mkono ....ikabidi niwahi chapu kwenda kupambana na huyo mbwa mwitu......
Kupitia silaha kama kwanja ,Ile anakuja kwangu nlimtia kwanja Moja la shingo bila uoga nikiwa na confidence kama napigana na kuku tu......nikamchimba nayo zaidi ya sentimita 15 ndani shingoni.....yule mbwa mwitu alikimbia vibaya Sana na kupotea sehemu isiyojulikana......maana nikaendelea mtafuta bila kumpata.........
Hii Ina maana Gani ?
"You are influenced by dead things while living a walking lifeNimesahau sikumbuki yote, ila nakumbuka nilisalimiana naye, na nikamwomba namba ya simu, akasema hana simu, na nilimwona kanenepa kuliko vile alivyokuwa hai,
Kulikuwa na mwanamke jirani yetu akawa anamtania Marehemu
"ukitoa namba naenda kusema kwa mkeo"
Ila baada ya wiki kuna hizi homa za kama COVID zinazotembea hivi karibuni ilinipiga hatari, namshukuru Mungu kwa sasa nimepona.
Ila mara nyingi watu tunaowaona kwenye ndoto iwe wapo hai au waliyokufa huwa ni kama characters kwenye story, sio kwamba kila ukimuota mtu basi hiyo ndoto inamuhusu huyo mtu bali wakati mwengine huyo mtu katumika tu katika hiyo ndoto akiwakilisha jambo fulani au tabia yako fulani.nimemuuliza mleta post ili kama ana uelewa mpana anijuze
Maana usije ukawa kama tomaso, unambishia hadi Yesu, kuwa sio yeye mpaka uone matundu ya misumari mikononi...Thibitisha
Ukitaka kutambua siri iliyojificha ambayo haina ushahidi wa kutosha kwa macho ya nje unahitaji sana kujua ulimwengu wa roho,
Mchawi ni mtu wa kiroho ndio maana anaweza kufanya mambo mengi ya ajabu ambayo binadamu wengine hawawezi, ni ujuzi na maarifa (elimu) anakua nayo.
Ipo hivo hata kwa mtu wa kiroho asiyekuwa mchawi, mfano nabii uwa ni watu wenye elimu na uelewa mkubwa.
Kwanza sifa ya Mbwa ni rafiki wa binadamu, pia mbwa ni silaha anaweza kukukinga na maadui au kukuzulu kama adui.
1. Kucheza na mbwa au kulindwa na Mbwa.
Mbwa ni watu walio karibu na wewe, kwahiyo watu wa karibu yako ndugu na rafiki, wanakulinda na wapo upande wako.
2. Kukimbizwa na mbwa.
Maana yake ni kuwa roho ya uzinzi imekukamata, na unaangaika kutoka, mbwa wanakukimbiza.
(Mbwa ufatana sana ili wakatiane
Kuota kuna husiana vipi na madudu analiyoandika mtia mada?asa kwani we huwa unaotaje? labda kwanza tuanzie hapo....
Maana usije ukawa kama tomaso, unambishia hadi Yesu, kuwa sio yeye mpaka uone matundu ya misumari mikononi...