Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

God is good my dia
Naamini umekuja na madini ya kutosha, ila kuna kitu nilikutana nacho kinaitwa SIGILS, nikasoma kwa juu juu ni kama spell dizaini. Je unahabari nayo unipe kwa ufasaha zaidi. Maana nikaona watu wanaandika hizo sigils kwa kutaka pesa, penzi, kulipa kisasi nk
 
Ni sect ya satanism hiyo kitu sikushauri uendelee nayo ila kwa faida ya wengi nitaiandikia mada kamili
 
mshana jr !asante sana kuna kitu nimejifunza hapa kuna picha yangu ya chuo nimeicheki dah imeniacha mdomo wazi..maana kuna majanga yalitukuta watatu tuliofuatana...ngoja nitarudi!!
[emoji120] [emoji817] tumegee kidogo tafadhali
 
Hii mada ina ukweli sana! Kupitia mada na tafakuri kama hizi, mtu taratibu unaweza ukajifunza maarifa juu ya KWELI nyingi sana. Hivyo atakuwa mtu huru na asiye angamia kwa kuyakosa maarifa.

Kuna mengi yenye kuleta mantiki, japo yanakosa ushahidi wa mojakwamoja. Hongera Mkuu kwa elimu.
 
[emoji817] [emoji120] [emoji106] [emoji115]
 
Hata wenyewe hawakuwa wanajua nini kitakuja kutokea baadae (hata kama labda kulikuwa kuna kitu wanafanya kwa siri) lakini yale ya kiroho yale ya sirini yalikuja kutokea na kutimia
ile ya kenyata..moi...kibaki na uhuru niliielewa zaidi.....ila hii ya
mbatia hao wanasiasa uchwara sijaielewa.
 
Back
Top Bottom