Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Hii NDOTO ya Kuota Mtu unayemjua amekufa, Ina maana gani?
Kitu Kingine niliota nimekutana Raisi na WA Nchi jirani akanipa samaki nikala hiii pia Ina maana gani?
Mkuu Mshana Jr nisaidie hapo
Ndoto zina tafsiri nyingi na nyingi hazina maana.. Zingatia zile zinazojirudia
Ndoto za kula si nzuri sana hasa kama hicho chakula kinahusiana na nyama yenye damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…