Hiyo fani sikuwahi kuisikia, nahitaji kusoma na kuijua vizuri kama inawezekana.Nikikuuliza una akili utaniambia ndio
Nikikuuliza una roho hutakataa
Nikikuuliza tena kama una ufahamu bado jibu litakuwa ndio
Halafu nitakwambia nionyeshe hivyo vitu! Je utaweza? Hii ndio dhana ya ulimwengu usioonekana
Doo, nami nazidi kuelewa sasa kwa mfano wako mkuuHabari mkuu mshana jr shukrani sana kwa mada yako. Siku ya kwanza nilipoona uzi wako huu, sikuamini kwa asilimia 100% kile ulichokuwa umeandika. Lakini ilipofika mwezi wa tisa, nilirudi nyumbani, na baada ya kuchukua albamu, niliangalia picha za utotoni(ndizo pekee nilizonazo). Nilipoangalia picha ya mahafali ya darasa la saba, mimi peke yangu katika picha, ndiye niliyekuwa nimevaa shati tofauti na wengine. Niliporudisha kumbukumbu, nikakumuka, tulikuwa tumepanga kununua kitenge flani, siku ya kununua kitenge hicho, wenzangu walikwenda bila kunishirikisha. Walirudi na kunionyesha kitenge walichonunua, na nilipojitahidi kutafuta, nilitafuta hadi nikachoka na wakanishauri nitafute angalau kinachokaribiana rangi. Kifupi, nina mfumo tofauti na hao wote wa uingizaji wa hela. Wao wote wameaajiriwa serikalini, kasoro mimi.
Ni kweli anatoaga humu vitu vya msingi sana, ingawa sometimes huwa anapost picha na mada zisizona maadili,.Brother Mshana Jr samahani naomba kufahamu taaluma yako /taaluma ulizonazo, kwa kifupi article zako huwa nazi "admire " Sana mkuu
Wewe bwana wachawi walikufa nini? Mbona unawapenda sana? Au una maarifa hayo mtumishi?Picha ni sehemu ya mwili wako iliyo nje yake wachawi na waganga huroga katika baadhi ya matukio kwa kutumia picha na kinacholeta uhai uhalisia na mawasiliano ya kiroho ni sura
Mkuu unaufahamu usio wa kawaida... akili ndogo mara nyingi huwa hazikuelewi na kuishia kudhani unazungumzia uchawi.
Picha chini inaonesha marais wote wa Kenya, Jomo Kenyatta, Daniel arap Moi, Mwai Kibaki na Uhuru Kenyatta
Nilikuwa najibu swaliWewe bwana wachawi walikufa nini? Mbona unawapenda sana? Au una maarifa hayo mtumishi?