Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Nikikuuliza una akili utaniambia ndio
Nikikuuliza una roho hutakataa
Nikikuuliza tena kama una ufahamu bado jibu litakuwa ndio
Halafu nitakwambia nionyeshe hivyo vitu! Je utaweza? Hii ndio dhana ya ulimwengu usioonekana
Hiyo fani sikuwahi kuisikia, nahitaji kusoma na kuijua vizuri kama inawezekana.
 
8D6U9904.JPG

Wawili wapendanao
 
IMG-20170816-WA0024.jpg
hii picha inayozunguka mitandaoni, naamini kabisa wakati wahusika wanaipiga hawakujua madhara yake
Na cha kushangaza zaidi, Mchungaji ambaye ndio anahisiwa kuwa baba halisi wa mtoto akakaa upande wa mtoto, hii sio coicedence ni spiritually pre-planned, ya gizani huumbuliwa na nuru. Sijui hii ndoa iko kwenye hali gani kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana napenda sana meditation lakini njia sizijui za kufanya meditation unaweza nilekeza kabisa nikaelewa nikaanza kumeditate
 
Mshana napenda sana meditation lakini njia sizijui za kufanya meditation unaweza nilekeza kabisa nikaelewa nikaanza kumeditate
Ingia hapa meditation in your daily routine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari mkuu mshana jr shukrani sana kwa mada yako. Siku ya kwanza nilipoona uzi wako huu, sikuamini kwa asilimia 100% kile ulichokuwa umeandika. Lakini ilipofika mwezi wa tisa, nilirudi nyumbani, na baada ya kuchukua albamu, niliangalia picha za utotoni(ndizo pekee nilizonazo). Nilipoangalia picha ya mahafali ya darasa la saba, mimi peke yangu katika picha, ndiye niliyekuwa nimevaa shati tofauti na wengine. Niliporudisha kumbukumbu, nikakumuka, tulikuwa tumepanga kununua kitenge flani, siku ya kununua kitenge hicho, wenzangu walikwenda bila kunishirikisha. Walirudi na kunionyesha kitenge walichonunua, na nilipojitahidi kutafuta, nilitafuta hadi nikachoka na wakanishauri nitafute angalau kinachokaribiana rangi. Kifupi, nina mfumo tofauti na hao wote wa uingizaji wa hela. Wao wote wameaajiriwa serikalini, kasoro mimi.
Doo, nami nazidi kuelewa sasa kwa mfano wako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha ni sehemu ya mwili wako iliyo nje yake wachawi na waganga huroga katika baadhi ya matukio kwa kutumia picha na kinacholeta uhai uhalisia na mawasiliano ya kiroho ni sura
Wewe bwana wachawi walikufa nini? Mbona unawapenda sana? Au una maarifa hayo mtumishi?
 
Mkuu Mshana jr ni vile tu umebarikiwa kuandika kwa hisia, kwa hili la picha nakupinga kwa 100% hakuna ukweli wowote katika suala la picha.
 
Mkuu unaufahamu usio wa kawaida... akili ndogo mara nyingi huwa hazikuelewi na kuishia kudhani unazungumzia uchawi.

Picha chini inaonesha marais wote wa Kenya, Jomo Kenyatta, Daniel arap Moi, Mwai Kibaki na Uhuru Kenyatta

117881_01_n_20130322150940.jpg

Hii kitu ya ajab sana. Yaani wakajipanga na kuonesha mtiririko kuwa mara baada ya mzee nitasimama mimi Arap, ukifuatia weye Kibaki halafu huy bwamdogo Uhuru. Huu ndo mtiririko. Baadaye waje wengine wasiofahamika.
Asante mshana jr
 
Back
Top Bottom