Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Mkuu unaufahamu usio wa kawaida... akili ndogo mara nyingi huwa hazikuelewi na kuishia kudhani unazungumzia uchawi.

Picha chini inaonesha marais wote wa Kenya, Jomo Kenyatta, Daniel arap Moi, Mwai Kibaki na Uhuru Kenyatta

Vipi na huyu aliyekatwa kulia? Na yeye ni raisi wa Kenya?
 
Hata kama Mbatia hajafuata kwa maana ya kubadili chama lakn tunaona.
1. Ubunge wake kateuliwa na Rais.
2. Cheche alizonazo pindi ile ni tofaut na sasa.

Kwa kifupi ametoka kifikra lakn kimwili anatambulika bado yupo kwny chama chake.
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
 
Mkuu mimi sio shabiki wa picha kabisa.nimepiga picha chache sana toka nizaliwe na hata simuni sio mtu wa picha picha.kuna sababu yeyote
Usiwe na wasiwasi kama hukuelewa au kama fikra zinakupeleka kwenye ushirikina.... vitu vimgine vinahitaji akili kubwa kuelewa..
sio lazima asapoti mwache aamue anavyotaka kuwaza.wenye akili wataelewa
 
Huyu jamaa ni nani nahisi kama ni mara ya tatu namuona na sielewi ni nani kabisa, namaanisha anayemshangaa dokta Shika.
Huyo ndo wa kupoteza boya, ndo anahusika na sakata la MO, ila ni walewale kama Dr Shika, wazee wa kupoteza boya! Nasikia nae kasoma Urusi[emoji23]
 
Mkuu mimi sio shabiki wa picha kabisa.nimepiga picha chache sana toka nizaliwe na hata simuni sio mtu wa picha picha.kuna sababu yeyote

sio lazima asapoti mwache aamue anavyotaka kuwaza.wenye akili wataelewa
Sawa, no offense...! Sio kesi..!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…