BlackBox
Senior Member
- Nov 26, 2016
- 109
- 78
Asante sana ndugu yangu, nitakuja mwisho wa mwaka tuombe uzima.[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji144]karibu Msata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana ndugu yangu, nitakuja mwisho wa mwaka tuombe uzima.[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji144]karibu Msata
Hawa jamaa wawili yamewakuta kwa pamoja
Mmh ya lini hii?Hawa jamaa wawili yamewakuta kwa pamoja.
Sura zao na mkao wao kwenye hii picha vinasema mengiView attachment 930597
Hii sijaielewa vemaWa kuelewa ataelewa!View attachment 930598
Mwijage na TizebaHawa wakina Nani mkuu
Vipi na huyu aliyekatwa kulia? Na yeye ni raisi wa Kenya?Mkuu unaufahamu usio wa kawaida... akili ndogo mara nyingi huwa hazikuelewi na kuishia kudhani unazungumzia uchawi.
Picha chini inaonesha marais wote wa Kenya, Jomo Kenyatta, Daniel arap Moi, Mwai Kibaki na Uhuru Kenyatta
![]()
Wa kuelewa ataelewa!View attachment 930598
Wote wacheza movieDadavua kidogo
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]Hata kama Mbatia hajafuata kwa maana ya kubadili chama lakn tunaona.
1. Ubunge wake kateuliwa na Rais.
2. Cheche alizonazo pindi ile ni tofaut na sasa.
Kwa kifupi ametoka kifikra lakn kimwili anatambulika bado yupo kwny chama chake.
Mkuu mimi sio shabiki wa picha kabisa.nimepiga picha chache sana toka nizaliwe na hata simuni sio mtu wa picha picha.kuna sababu yeyote
sio lazima asapoti mwache aamue anavyotaka kuwaza.wenye akili wataelewaUsiwe na wasiwasi kama hukuelewa au kama fikra zinakupeleka kwenye ushirikina.... vitu vimgine vinahitaji akili kubwa kuelewa..
Huyu jamaa ni nani nahisi kama ni mara ya tatu namuona na sielewi ni nani kabisa, namaanisha anayemshangaa dokta Shika.Wa kuelewa ataelewa!View attachment 930598
Huyo ndo wa kupoteza boya, ndo anahusika na sakata la MO, ila ni walewale kama Dr Shika, wazee wa kupoteza boya! Nasikia nae kasoma Urusi[emoji23]Huyu jamaa ni nani nahisi kama ni mara ya tatu namuona na sielewi ni nani kabisa, namaanisha anayemshangaa dokta Shika.
Mwaka jana kabla ya maonyesho ya sabasana kama sikoseiMmh ya lini hii?
Hii ni leo Ikulu.Hawa jamaa wawili yamewakuta kwa pamoja.
Sura zao na mkao wao kwenye hii picha vinasema mengiView attachment 930597
Sawa, no offense...! Sio kesi..!!!Mkuu mimi sio shabiki wa picha kabisa.nimepiga picha chache sana toka nizaliwe na hata simuni sio mtu wa picha picha.kuna sababu yeyote
sio lazima asapoti mwache aamue anavyotaka kuwaza.wenye akili wataelewa