Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Hawa jamaa wawili yamewakuta kwa pamoja.
Sura zao na mkao wao kwenye hii picha vinasema mengiView attachment 930597
Sijaielewa naona giza, wamekufa? wamefiwa ama nin? maana wana sura za huzuni na hii picha walipigwa wakiwa wakati gani...kilimo na biashara au Tetemeko la Bukoba ama ktk majukumu gani....hisia zao na majina yao yamehakisi Korosho sio zao la chakula ila tunakula tu.
 
Ndio mkuu!

Uliandika kile ambacho ningeandika mimi!
 
Ukiachana na MORAL OF THE STORY.... itafakari kwa muktadha wa mada... Moi aliye mbele halafu mrefu kuliko wote bado yuko hai, wengine wote ni marehemu

 
Mwijage bana huyu jamaa anajuwa sana sema zama zimebadilika
 
Mshana unanikumbusha movie za final destination. Kama umeshaziona, unahisi kile kitu kinawezekana maishani. Maana mara nyingi familia fulani ikianza kuandamwa na misiba basi huwa inafululiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshana unanikumbusha movie za final destination. Kama umeshaziona, unahisi kile kitu kinawezekana maishani. Maana mara nyingi familia fulani ikianza kuandamwa na misiba basi huwa inafululiza

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna uhalisia hata katika maisha ya kawaida

Jr[emoji769]
 
Uislamu umekataza kupiga picha viumbe vyenye roho. Hukumu ya picha kwa mujibu wa uislamu ni katika madhambi makubwa na ni laana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…