Mmmmh mkuu,mada zako!zinaweza kupasua kichwa!ni pana kama sayari ya dunia.Picha ni sehemu ya mwili wako iliyo nje yake wachawi na waganga huroga katika baadhi ya matukio kwa kutumia picha na kinacholeta uhai uhalisia na mawasiliano ya kiroho ni sura
Kwa tafasili ya hiyo picha.ilinyesha wazi kibonde alikua anahisi kitu ndani yake,bodyluegeu..kama kibonde anajua umauti utamfika..Dah[emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Jr[emoji769]
[emoji848][emoji848][emoji30][emoji30][emoji30]Mmmmh mkuu,mada zako!zinaweza kupasua kichwa!ni pana kama sayari ya dunia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kifo huongea na wewe kabla hakijakufikaKwa tafasili ya hiyo picha.ilinyesha wazi kibonde alikua anahisi kitu ndani yake,bodyluegeu..kama kibonde anajua umauti utamfika..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini wengi hukiogopa kifo /kufa? - JamiiForumsKwa tafasili ya hiyo picha.ilinyesha wazi kibonde alikua anahisi kitu ndani yake,bodyluegeu..kama kibonde anajua umauti utamfika..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmh mkuu,mada zako!zinaweza kupasua kichwa!ni pana kama sayari ya dunia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu huona nini wanapokaribia kufa? - JamiiForumsKwa tafasili ya hiyo picha.ilinyesha wazi kibonde alikua anahisi kitu ndani yake,bodyluegeu..kama kibonde anajua umauti utamfika..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana nina swali nje ya maada, kuna uhusiano wa kuanguka chooni na stroke? Je madhara yapi anayapata mtu akianguka chooni?[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Jr[emoji769]
Kuna mada yake ngoja nikutafutieMshana nina swali nje ya maada, kuna uhusiano wa kuanguka chooni na stroke? Je madhara yapi anayapata mtu akianguka chooni?
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa kawaida mtu anapoamka na kusimama damu hukimbilia miguuni. hilo husababisha pressure ya damu kushuka (postural hypotension). hii hufanya damu kwenye ubongo kupungua (hypoperfusion) na kusababisha kizunguzungu na kuanguka. hili hutokea hasa kwa wazee. pia kama unatumia dawa za kupunguza pressure ni hatari zaidi sababu pressur tayari inakuwa chini. kuongezea hili, kukojoa ukiwa umesimama pia kunapunguza pressure ya damu.
Kuna MTU nimemuona hapo kwenye picha upande wa kushoto chini
Shukrankwa kawaida mtu anapoamka na kusimama damu hukimbilia miguuni. hilo husababisha pressure ya damu kushuka (postural hypotension). hii hufanya damu kwenye ubongo kupungua (hypoperfusion) na kusababisha kizunguzungu na kuanguka. hili hutokea hasa kwa wazee. pia kama unatumia dawa za kupunguza pressure ni hatari zaidi sababu pressur tayari inakuwa chini. kuongezea hili, kukojoa ukiwa umesimama pia kunapunguza pressure ya damu.
2. pia kuoga maji ya moto sana husababisha mishipa ya damu kutanuka (vasodilation). hili husbabisha kushuka kwa pressure, kizunguzungu na kuanguka.
kuepuka haya yakupasa kukojoa ukiwa umekaa hasa wazee na wale wanaotumia dawa za pressure. unapo amka amka kwa step. kaa kwanza kitandani ndiyo usimame. Pia epuka kuoga maji ya moto sana kama unatumia dawa zinazosababisha presha kushuka.
Jr[emoji769]