Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

.
tapatalk_1552628955454.jpeg

Usile Mbegu.
 
Nitashukuru kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa kawaida mtu anapoamka na kusimama damu hukimbilia miguuni. hilo husababisha pressure ya damu kushuka (postural hypotension). hii hufanya damu kwenye ubongo kupungua (hypoperfusion) na kusababisha kizunguzungu na kuanguka. hili hutokea hasa kwa wazee. pia kama unatumia dawa za kupunguza pressure ni hatari zaidi sababu pressur tayari inakuwa chini. kuongezea hili, kukojoa ukiwa umesimama pia kunapunguza pressure ya damu.

2. pia kuoga maji ya moto sana husababisha mishipa ya damu kutanuka (vasodilation). hili husbabisha kushuka kwa pressure, kizunguzungu na kuanguka.

kuepuka haya yakupasa kukojoa ukiwa umekaa hasa wazee na wale wanaotumia dawa za pressure. unapo amka amka kwa step. kaa kwanza kitandani ndiyo usimame. Pia epuka kuoga maji ya moto sana kama unatumia dawa zinazosababisha presha kushuka.

Jr[emoji769]
 
Shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom