Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

.
 

Attachments

  • IMG_20191203_234546.jpg
    84.3 KB · Views: 49
  • IMG_20191029_201553.jpg
    57.1 KB · Views: 50
nakumbuka mwaka fulani nikiwa chuo alikuja vice principal akatupiga picha mm na dada mmoja tukiwa tunasoma, akaiweka kwenye page yake fb hadi leo ipo.... wonderful enough leo hii tunaishi pamoja as husband & wife.
Hebu jiulize vizuri kilichowaunganisha ni hiyo picha au ile hali ya kusoma pamoja tayari kulikuwa na kitu kinawaleta pamoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…