Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Mmh hebu soma msingi waada
Angalau wewe umeweka upande mzuri wa hizi picha mana bwana Mshana jr na wenzie wanaweka habari za vifo tu...hadi naogopa ngoja nikajipooze kwenye uzi wa KULA TUNDA KIMASIHARA

Jr[emoji769]
 
Huenda shule uliyosoma haitokuja kuwa na manufaa kwenye maisha yako. Jaribu mpira au mziki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha nyingi za Kobe na binti yake zimetoa ujumbe uliofichwa.. Kuna moja binti yake yuko na wanakikapu mabinti... Ni yeye aliyekuwa katikati na mpira
Mshana Mada hii imenifanya niangalie picha hii kwa kutafakari sana
1.waliosimama katikati........ 2.waliokenua meno......
Duh ndio waliofariki pamojaView attachment 1338969

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Wamegeuza majinsi,means watageuza bara wanaloishi,from Africa to Europe.
Amefunga kitanzi peke yake,means.............malizia
Usisahau mrejesho tafadhali mi nakuonyesha moja.

View attachment 390635
Hawa ni jamaa zangu hapo ni South Africa mwaka 1996 hiyo picha nilipiga mimi huyo wa katikati ni marehemu kwa sasa na hao wengine wako Ulaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…