Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho


Ukitaka kutafakari jambo kiupana zaidi ya vile unavyokiona jaribu kukaa sehemu tulivu angalia hata km ni picha ama vuta taswira ya jambo lenyewe na ufunge macho kuna vingi utagundua. Ama km kuna jambo linakutatiza vuta pumzi ya kutosha relax then liwazie jambo kwa kiundani bila kuliangalia swala lenyewe kwa macho na akili iliyojaa fujo. Hapa najaribu kukuelekeza utafakari wa jambo upo kuanzia kiroho (tunaweza kusema jicho la tatu) hapo kuna mengi unaweza kuyaelewa zaidi na km utakuwa unajiamini unaweza kuyafanyia kazi na ndio njia pekee ya kulifungua jicho la tatu km utayafanyia maamuzi utakayorudi nayo baada ya tafakari.
 
Ama km kuna jambo linakutatiza vuta pumzi ya kutosha relax then liwazie jambo kwa kiundani bila kuliangalia swala lenyewe kwa macho na akili iliyojaa fujo. [emoji419][emoji625][emoji109][emoji123]
Jr[emoji769]
 
Unaweza kuta na wewe ukafa kifo kinachofanana na hicho cha mbuzi.

Siku ikiwekwe hiyo picha yako,ndiyo tutaanza kuelewa.

Mungu aepishie mbali hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…