Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Kila kitu ubishi!Ndiyo maana tunayabishia hata mafanikio yetu wenyewe.
 
Huyu Mwanafunzi aitwaye MANAWA SAMSON amejiua kwa kujirusha toka ghorofa ya pili pale UDSM.
Sasa kwenye Facebook yake nimekutana na hii picha ya mwaka 2021 april.

Amepost mwenyewe yani, inaonyesha kama amejitabiria! Cc Mshana Jr
 
Mkuu natoka nje ya mada kidogo.
Sijui hili ni tatizo ama ni dalili ya nini?
Ni kwamba, nimekuwa nikikutana na namba 11 kila niangalipo muda. Yaani mfano utakuta nimetoa simu mfukoni ili kuendelea na matumizi mengine, lakini nikipiga jicho kwenye muda hutokea nakuta kama ni saa 5 basi huwa na dk 11, au wakati mwingine hukuta 11:11 au 8:11 yaani mara nyingi hukutana na hiyo namba sasa sijaelewa ina maana gani hyo namba. Kwa kiwa ndugu yetu mdadavuaji wa mambo huenda hili ukawa una fununu nalo hivyo ukatupatia mawili matatu kuhusu hii namba
 

inaitwa synchronisation... The universe is trying to send u message... pia 11.11 au 1.11 ukiona namba 1 zinafatana hivo sana ni kua you are probably on a right path. katika kujitafuta kufahamu ww ni nani na lengo lako hapa duniani..


hizo hua zinaitwa angel numbers!
 
picha hiyo imeongea namuona nyerere akiwa na hofu kuu...utadhani nyerere alikuwa bwana mdogo harafu sokine alikuwa bwana mkubwa.....sijui kwanini nyerere alimuogopa sana huyu bwana
Halafu alimwamini sana na infact Sokoine hakuwa mwoga kwa yeyote akiwemo mchonga mwenyewe
 
Suicide nyingine ni kafara, ila inatengenezwa ionekane amejiua ila ukweli ni kwamba ametolewa kafara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…