Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Ni mtazamo,hao jamaa kwenye picha kwani hawajawai kupiga picha na watu wengine,wakiwa wamevaa mavadhi kama hayo,au kuwa na muonekano kama huu,wewe umechagua picha inayoendana na ulichotaka kutuaminisha,hiyo sio picha pekee,maisha hayana kanuni maalumu,
Kila kitu ubishi!Ndiyo maana tunayabishia hata mafanikio yetu wenyewe.
 
What about these ?
Screenshot_20220108-203857.jpg
Screenshot_20220108-205323.jpg

Jamaa anaoneka alikuwa anaongea kwa mifano sana that's why akawa mwanasiasa maarufu
 
Huyu Mwanafunzi aitwaye MANAWA SAMSON amejiua kwa kujirusha toka ghorofa ya pili pale UDSM.
Sasa kwenye Facebook yake nimekutana na hii picha ya mwaka 2021 april.

Amepost mwenyewe yani, inaonyesha kama amejitabiria! Cc Mshana Jr
FB_IMG_1641978585704.jpg
 
Mkuu natoka nje ya mada kidogo.
Sijui hili ni tatizo ama ni dalili ya nini?
Ni kwamba, nimekuwa nikikutana na namba 11 kila niangalipo muda. Yaani mfano utakuta nimetoa simu mfukoni ili kuendelea na matumizi mengine, lakini nikipiga jicho kwenye muda hutokea nakuta kama ni saa 5 basi huwa na dk 11, au wakati mwingine hukuta 11:11 au 8:11 yaani mara nyingi hukutana na hiyo namba sasa sijaelewa ina maana gani hyo namba. Kwa kiwa ndugu yetu mdadavuaji wa mambo huenda hili ukawa una fununu nalo hivyo ukatupatia mawili matatu kuhusu hii namba
 
inaitwa synchronisation... The universe is trying to send u message... pia 11.11 au 1.11 ukiona namba 1 zinafatana hivo sana ni kua you are probably on a right path. katika kujitafuta kufahamu ww ni nani na lengo lako hapa duniani..

hizo hua zinaitwa angel numbers!
 
picha hiyo imeongea namuona nyerere akiwa na hofu kuu...utadhani nyerere alikuwa bwana mdogo harafu sokine alikuwa bwana mkubwa.....sijui kwanini nyerere alimuogopa sana huyu bwana
Halafu alimwamini sana na infact Sokoine hakuwa mwoga kwa yeyote akiwemo mchonga mwenyewe
 
Huyu Mwanafunzi aitwaye MANAWA SAMSON amejiua kwa kujirusha toka ghorofa ya pili pale UDSM.
Sasa kwenye Facebook yake nimekutana na hii picha ya mwaka 2021 april.

Amepost mwenyewe yani, inaonyesha kama amejitabiria! Cc Mshana Jr View attachment 2077992
Suicide nyingine ni kafara, ila inatengenezwa ionekane amejiua ila ukweli ni kwamba ametolewa kafara.
 
Back
Top Bottom