Ebana eee hii picha iliongea tena kwa herufi kubwa...cheki nao anavyowapeleka wenzake....kako juu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Angalia aliyekaa.. View attachment 2093809
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naacha kupiga picha
MashakaKama hamuelewi hivi
View attachment 2145950
dohoo[emoji848]Mashaka
dohoo[emoji848]View attachment 2146891
Baba fatuma naskia anakata sana kilaji, alafu mbona katinga sneaker? Dah huyu mzee noma
Basi wapemba hawasemagi uongo 😂😂Hamada.,[emoji23] [emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Uzi huu umenifanya niwe mwoga wa picha za pamoja (wengi).Picha huongea kabla ya wakati kutimia
HawanafurahaBody language[emoji25] View attachment 2162927
Doh!😔Zitakubamba usipotarajia[emoji3]
Nimewahi kumsikia Muigizaji mmoja wa sinema za Kibongo aitwaye Hemed Suleiman akizungumzia suala kama lako, ingawa yeye hakutaja namba uliyoitaja wewe.Mkuu natoka nje ya mada kidogo.
Sijui hili ni tatizo ama ni dalili ya nini?
Ni kwamba, nimekuwa nikikutana na namba 11 kila niangalipo muda. Yaani mfano utakuta nimetoa simu mfukoni ili kuendelea na matumizi mengine, lakini nikipiga jicho kwenye muda hutokea nakuta kama ni saa 5 basi huwa na dk 11, au wakati mwingine hukuta 11:11 au 8:11 yaani mara nyingi hukutana na hiyo namba sasa sijaelewa ina maana gani hyo namba. Kwa kiwa ndugu yetu mdadavuaji wa mambo huenda hili ukawa una fununu nalo hivyo ukatupatia mawili matatu kuhusu hii namba