Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Ebana eee hii picha iliongea tena kwa herufi kubwa...cheki nao anavyowapeleka wenzake....kako juu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Utasema ndoto ya Josefu na ndugu zake 11
Picha zinaongea kabla yetu
 
Kama hamuelewi hivi
3366F9BF-4EC4-45F0-ADE1-3DB0DC22068B.jpeg
 
Mkuu natoka nje ya mada kidogo.
Sijui hili ni tatizo ama ni dalili ya nini?
Ni kwamba, nimekuwa nikikutana na namba 11 kila niangalipo muda. Yaani mfano utakuta nimetoa simu mfukoni ili kuendelea na matumizi mengine, lakini nikipiga jicho kwenye muda hutokea nakuta kama ni saa 5 basi huwa na dk 11, au wakati mwingine hukuta 11:11 au 8:11 yaani mara nyingi hukutana na hiyo namba sasa sijaelewa ina maana gani hyo namba. Kwa kiwa ndugu yetu mdadavuaji wa mambo huenda hili ukawa una fununu nalo hivyo ukatupatia mawili matatu kuhusu hii namba
Nimewahi kumsikia Muigizaji mmoja wa sinema za Kibongo aitwaye Hemed Suleiman akizungumzia suala kama lako, ingawa yeye hakutaja namba uliyoitaja wewe.
 
Back
Top Bottom