kaligopelelo
JF-Expert Member
- Jun 20, 2013
- 2,832
- 4,070
Kwahiyo hamtakufa kwasababu hamko kwenye picha? Ni punguani tu ndo wataamini ujinga unaozungumzwa kwenye huu uzi.Mama yangu enzi za uhai wake alipiga picha na dada na mdogo wangu kwa nyakati tofauti, Sikuwahi piga nae na dada yangu mkubwa pia hapiga nae ,Hadi leo hii Mama na wale ndugu alipiga nao picha wamefariki tupo hai mimi na dada mkubwa