Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Mama yangu enzi za uhai wake alipiga picha na dada na mdogo wangu kwa nyakati tofauti, Sikuwahi piga nae na dada yangu mkubwa pia hapiga nae ,Hadi leo hii Mama na wale ndugu alipiga nao picha wamefariki tupo hai mimi na dada mkubwa
Kwahiyo hamtakufa kwasababu hamko kwenye picha? Ni punguani tu ndo wataamini ujinga unaozungumzwa kwenye huu uzi.
 
Hao watatu kulia wenye koti za dark blue walikuwa kozi moja hao wadada watatu wanaofata walikuwa kozi moja hao wawili walikuwa kozi moja huyo mwenye hijab alikuwa kozi tofauti halafu huyo wa nyuma nae kozi tofauti

Hiyo picha nyingine hao wadada watatu kuanzia kulia walikuwa kozi moja hao walio simama mwisho kushoto na kulia kozi moja pia [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kwa hiyo imekuaje
 
Huu uzi una uongo mwingi sana tena sana. Binadamu anakuja na kuondoka ila mtu mmoja anadai mtu akiondoka kwenye picha aliyopiga na wengine eti ni 'tasfiri ya picha kwenye ulimwengu wa kiroho'
Nonsense kabisa...uzi wa kijinga sana tena sana maana hakuna atakeyeishi milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…