Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani nitakushukuru daima kwa hili somo, maana hadi hata naogopa kupiga picha [emoji38] [emoji3] [emoji3] [emoji38]....Wameachana njiapanda kama picha inavyojieleza lakini wakati wanapigwa hii picha kuna aliyeyawaza haya?
Haupaswi kuogopa bali kukumbuka! Dhima ya hii elimu na huu ufunuo wenye maarifa ndani yake ni kutufanya tuwe bora zaidi na kuondoa tongotongo zote za hofu na taharuki.yaani nitakushukuru daima kwa hili somo, maana hadi hata naogopa kupiga picha [emoji38] [emoji3] [emoji3] [emoji38]....
nazidi kuamini picha zinaongea... big up[emoji106]
Ni kweli aiseee nabadili mtazamo, ila mambo mengi umenitoa tongotongo, hujui tu... maana nikipata elimu kwako nazama kuisaka kwa mapana zaidi napata uelewa wa vitu, ila sio kwa yale mambo ya wanga wanga[emoji38] [emoji38] [emoji38] . Be blessed abundantly.Haupaswi kuogopa bali kukumbuka! Dhima ya hii elimu na huu ufunuo wenye maarifa ndani yake ni kutufanya tuwe bora zaidi na kuondoa tongotongo zote za hofu na taharuki
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Yale mambo ya wanga wanga[emoji781] [emoji779] [emoji781] [emoji779] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji109] [emoji817] [emoji779]ni kweli aiseee nabadili mtazamo... ila mambo mengi umenitoa tongotongo, hujui tu... maana nikipata elimu kwako nazama kuisaka kwa mapana zaidi napata uelewa wa vitu.. ila sio kwa yale mambo ya wanga wanga[emoji38] [emoji38] [emoji38] . Be blessed abundantly.
Na huyo aliyeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa naye !!Hatujui yajayo japo kwasasa imethibitika hao wawili walio upande mmoja na rangi za nguo zinazokaribia kufanana 'inasemekana' ni wasaliti
Na haswa kwa watu walio karibu, kama vile taaluma moja, ofisi moja, timu moja, n.k. Hupiga picha nyingi sana so ni rahisi kupata picha moja tu itakayofit unachotaka kusema. So ni pure coincidenceHivi mshana mpare wewe huwa unajifunza namna ya kuwa mwanasaikogia au huwa unataka kuwaenjoy watu uwezo wao wa kuelewa? Una mpangp baadae kuwa km akina bushir,sheikh yahaya au? Hakuna kitu km hicho ktk ulimwengu wa roho.picha ni coincidences tu
Hivi mshana mpare wewe huwa unajifunza namna ya kuwa mwanasaikogia au huwa unataka kuwaenjoy watu uwezo wao wa kuelewa? Una mpangp baadae kuwa km akina bushir,sheikh yahaya au? Hakuna kitu km hicho ktk ulimwengu wa roho.picha ni coincidences tu
Mna safari ndefu bado kwenye kufahamu yaliyo nyuma ndani ya ulimwengu usiionekana ambao ndio engine ya duniaNa haswa kwa watu walio karibu, kama vile taaluma moja, ofisi moja, timu moja, n.k. Hupiga picha nyingi sana so ni rahisi kupata picha moja tu itakayofit unachotaka kusema. So ni pure coincidence
Huko wapi mkuu, hiyo elimu inasomewa wapi?ulimwengu usioonekana?Kweli nina safari ndefuMna safari ndefu bado kwenye kufahamu yaliyo nyuma ndani ya ulimwengu usiionekana ambao ndio engine ya dunia
Huko hakuna kitu kinaitwa coincidence kila kitu ni preplanned
Nikikuuliza una akili utaniambia ndioHuko wapi mkuu, hiyo elimu inasomewa wapi?ulimwengu usioonekana?Kweli nina safari ndefu
Kwani hata kama wasingepigwa picha hayo yaliyotokea yasingeliweza kutokea?Hata wenyewe hawakuwa wanajua nini kitakuja kutokea baadae (hata kama labda kulikuwa kuna kitu wanafanya kwa siri) lakini yale ya kiroho yale ya sirini yalikuja kutokea na kutimia
Ni mtazamo,hao jamaa kwenye picha kwani hawajawai kupiga picha na watu wengine,wakiwa wamevaa mavadhi kama hayo,au kuwa na muonekano kama huu,wewe umechagua picha inayoendana na ulichotaka kutuaminisha,hiyo sio picha pekee,maisha hayana kanuni maalumu,Wakati wa kupigwa hii picha hakuna aliyetegemea kuwa hawa wote watakuja kuwa marais wa Kenya ila kwenye ulimwengu wa roho na beyond human thinking capacity....hongera nimeipenda