Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Hili somo la picture nimeliewa na kuona mubashara... cheki hizi picha, hawa walikua wasanii wa Bollywood

IMG_20170524_000913_135.JPG
IMG_20170524_000852_454.JPG
 
Wameachana njiapanda kama picha inavyojieleza lakini wakati wanapigwa hii picha kuna aliyeyawaza haya?
Yaani nitakushukuru daima kwa hili somo, maana hadi hata naogopa kupiga picha [emoji38] [emoji3] [emoji3] [emoji38]....
nazidi kuamini picha zinaongea... big up[emoji106]
 
yaani nitakushukuru daima kwa hili somo, maana hadi hata naogopa kupiga picha [emoji38] [emoji3] [emoji3] [emoji38]....
nazidi kuamini picha zinaongea... big up[emoji106]
Haupaswi kuogopa bali kukumbuka! Dhima ya hii elimu na huu ufunuo wenye maarifa ndani yake ni kutufanya tuwe bora zaidi na kuondoa tongotongo zote za hofu na taharuki.
 
Haupaswi kuogopa bali kukumbuka! Dhima ya hii elimu na huu ufunuo wenye maarifa ndani yake ni kutufanya tuwe bora zaidi na kuondoa tongotongo zote za hofu na taharuki
Ni kweli aiseee nabadili mtazamo, ila mambo mengi umenitoa tongotongo, hujui tu... maana nikipata elimu kwako nazama kuisaka kwa mapana zaidi napata uelewa wa vitu, ila sio kwa yale mambo ya wanga wanga[emoji38] [emoji38] [emoji38] . Be blessed abundantly.
 
ni kweli aiseee nabadili mtazamo... ila mambo mengi umenitoa tongotongo, hujui tu... maana nikipata elimu kwako nazama kuisaka kwa mapana zaidi napata uelewa wa vitu.. ila sio kwa yale mambo ya wanga wanga[emoji38] [emoji38] [emoji38] . Be blessed abundantly.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Yale mambo ya wanga wanga[emoji781] [emoji779] [emoji781] [emoji779] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji109] [emoji817] [emoji779]
 
Hivi mshana mpare wewe huwa unajifunza namna ya kuwa mwanasaikogia au huwa unataka kuwaenjoy watu uwezo wao wa kuelewa? Una mpangp baadae kuwa km akina bushir,sheikh yahaya au? Hakuna kitu km hicho ktk ulimwengu wa roho.picha ni coincidences tu
 
Na haswa kwa watu walio karibu, kama vile taaluma moja, ofisi moja, timu moja, n.k. Hupiga picha nyingi sana so ni rahisi kupata picha moja tu itakayofit unachotaka kusema. So ni pure coincidence
 
Mna safari ndefu bado kwenye kufahamu yaliyo nyuma ndani ya ulimwengu usiionekana ambao ndio engine ya dunia
Huko hakuna kitu kinaitwa coincidence kila kitu ni preplanned
 
Mna safari ndefu bado kwenye kufahamu yaliyo nyuma ndani ya ulimwengu usiionekana ambao ndio engine ya dunia
Huko hakuna kitu kinaitwa coincidence kila kitu ni preplanned
Huko wapi mkuu, hiyo elimu inasomewa wapi?ulimwengu usioonekana?Kweli nina safari ndefu
 
Huko wapi mkuu, hiyo elimu inasomewa wapi?ulimwengu usioonekana?Kweli nina safari ndefu
Nikikuuliza una akili utaniambia ndio
Nikikuuliza una roho hutakataa
Nikikuuliza tena kama una ufahamu bado jibu litakuwa ndio
Halafu nitakwambia nionyeshe hivyo vitu! Je utaweza? Hii ndio dhana ya ulimwengu usioonekana
 
Hata wenyewe hawakuwa wanajua nini kitakuja kutokea baadae (hata kama labda kulikuwa kuna kitu wanafanya kwa siri) lakini yale ya kiroho yale ya sirini yalikuja kutokea na kutimia
Kwani hata kama wasingepigwa picha hayo yaliyotokea yasingeliweza kutokea?
 
Wakati wa kupigwa hii picha hakuna aliyetegemea kuwa hawa wote watakuja kuwa marais wa Kenya ila kwenye ulimwengu wa roho na beyond human thinking capacity....hongera nimeipenda
Ni mtazamo,hao jamaa kwenye picha kwani hawajawai kupiga picha na watu wengine,wakiwa wamevaa mavadhi kama hayo,au kuwa na muonekano kama huu,wewe umechagua picha inayoendana na ulichotaka kutuaminisha,hiyo sio picha pekee,maisha hayana kanuni maalumu,
 
Back
Top Bottom