Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii picha sijaelewa... Kwani hao wenye sare wanahusianaje na kufariki kwao kwa pamoja?
unajua aseMshana Jr
Mbwa Naye Anapiga Push Up!Duuu kulikuwa na ujumbe hasi hapa ila hatukufunuliwa
Ni nuksi
Huyo ni Muhoho si Uhuru ! Elder brotherHii kitu ya ajab sana. Yaani wakajipanga na kuonesha mtiririko kuwa mara baada ya mzee nitasimama mimi Arap, ukifuatia weye Kibaki halafu huy bwamdogo Uhuru. Huu ndo mtiririko. Baadaye waje wengine wasiofahamika.
Asante mshana jr
We mwenyewe nuksi haswa !Ni nuksi
Kaka Mshana Jr, hii link haijawahi kufanya kazi. Nimejaribu kila ulipoulizwa swali kuhusu meditation ukatoa hiyo link sijaweza kufungua. Naomba URL yenyewe badala ya link kama unavyoirusha. Asante.Ingia hapa meditation in your daily routine
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka Mshana Jr, hii link haijawahi kufanya kazi. Nimejaribu kila ulipoulizwa swali kuhusu meditation ukatoa hiyo link sijaweza kufungua. Naomba URL yenyewe badala ya link kama unavyoirusha. Asante.
Hapa kweli kabisa, na kuna mmoja nyuma japo kachelewa kuungana nao ila naona anawasogeleaHii picha hii hebu waangalie wote vizuri.. There is a story to tellView attachment 623765