Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

CC : kunena Mr the dragon
e25cc9fa134e2ffebb03bad00af871d9.jpg
 
Ilikua 1974,siku alipofungua Jumba la KICC (Kenyatta International Conference Center) mjini Nairobi.Hapa Mzee Jomo Kenyatta anasaini Guest Book . Very amazing picture.
Picha iko wapi?
 
Hii kitu ya ajab sana. Yaani wakajipanga na kuonesha mtiririko kuwa mara baada ya mzee nitasimama mimi Arap, ukifuatia weye Kibaki halafu huy bwamdogo Uhuru. Huu ndo mtiririko. Baadaye waje wengine wasiofahamika.
Asante mshana jr
Huyo ni Muhoho si Uhuru ! Elder brother
 
Ingawa thread ya zamani, lakini ina funzo and relevant too. bahati mbaya nilipoteza picha zangu zote za zamani wakati nakuwa na kumbukumbu or picha nilizonazo ni nikiwa form 6 na University. nikicheki jamaa niliopiga nao nikiwa secondary wengi ni watu wazima na wana vyeo vikubwa serikalini, wengine wameshatangulia mbele ya Haki. Though nilijikuta na-develop habit ya kutotaka kupiga picha hata kama wanaopiga ni family members. Sometimes ni nadra kukuta picha yangu mahala popote na hata sijui kwa nini...@mshana jr
 
Ingia hapa meditation in your daily routine

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka Mshana Jr, hii link haijawahi kufanya kazi. Nimejaribu kila ulipoulizwa swali kuhusu meditation ukatoa hiyo link sijaweza kufungua. Naomba URL yenyewe badala ya link kama unavyoirusha. Asante.
 
Ipate kupitia Google ama search engine ya JF. Nitakutag pia
Kaka Mshana Jr, hii link haijawahi kufanya kazi. Nimejaribu kila ulipoulizwa swali kuhusu meditation ukatoa hiyo link sijaweza kufungua. Naomba URL yenyewe badala ya link kama unavyoirusha. Asante.
8ebb1250d4f7f2fd6bcda236e0362a37.jpg
 
Back
Top Bottom