Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Tafsiri yake ni nini mkuu, mbona hao hawapo pamoja kwa sasa na hakuna hata mmoja aliyeng'ata shuka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafsiri yake ni nini mkuu, mbona hao hawapo pamoja kwa sasa na hakuna hata mmoja aliyeng'ata shuka?
Hapana tafsiri sio moja tuu ..hebu rudia kusoma msingi wa mada
Naomba kuuliza mkuu japo ni nje ya mada kidogoHapana tafsiri sio moja tuu ..hebu rudia kusoma msingi wa mada
nimekutumia text inbox nduguKaribu bila shaka
Huyo Lwakatare ni lini aligombea urais?Tafsiri yake ni hii, hao wote watatu kwenye picha ni wagombea Urais... japo kwa nyakati tofauti kupitia CHADEMA.
Mshana Jr
Huyo Lwakatare ni lini aligombea urais?
Kwani wa katikati ni nani kwa jina?Yupo kati ya hao watatu.? nahisi yupo nje ya scene, mimi nimesemea hao watatu kwenye main focus.
Kwani wa katikati ni nani kwa jina?
Ok nilidhania Lwakatare jinsi alivyokaa kaa.Salum Mwalimu, mgombea mwenza.
Wa Blue watatangulia wote na watabakia wa Nyeusi peke yaoMhh c mchezo inatisha aisee[emoji116][emoji116]View attachment 1521363
Huwezi jua mkuu, siri ya muumba hiyo na ukisubiri sn unaweza usilione hilo tukio kwa uwezo wake Mungu.Wa Blue watatangulia wote na watabakia wa Nyeusi peke yao