Abu_yazid
JF-Expert Member
- Mar 28, 2014
- 3,435
- 4,245
upande wa mmoja kuna watu wengi.. na upande wa mwengine kuna watu wachache...Hii picha hii usiichukulie kisiasa..ichukulie kiroho..kuna mmoja anapongezwa hapoView attachment 1541890
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
upande wa mmoja kuna watu wengi.. na upande wa mwengine kuna watu wachache...Hii picha hii usiichukulie kisiasa..ichukulie kiroho..kuna mmoja anapongezwa hapoView attachment 1541890
Sawa mkuu.nimekuelewaYale yaliyobeba uhalisia wa ndani tuu si yote
Jr[emoji769]
Huyo mchungaji aliyeko nyuma yao ni nani?
Eheee hii ndio yenyewe sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji109]View attachment 1520246
Tafsiri yake tafadhaliEheee hii ndio yenyewe sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lwakatare yuko wapi hapoHuyo Lwakatare ni lini aligombea urais?
Mimi hata sijui mkuu nimeipenda tu pichaTafsiri yake tafadhali
Basi tuombe Mungu iwe nzuriMimi hata sijui mkuu nimeipenda tu picha
Walishanitanzulia mkuu, huyo aliyevaa khaki nilidhani ndiyo yeye kumbe nilibhugi!Lwakatare yuko wapi hapo
Kias naielewaHii picha hii usiichukulie kisiasa..ichukulie kiroho..kuna mmoja anapongezwa hapoView attachment 1541890
Mkapa pekee amekanyaga zuria jekundu. Duh!
Hushangai wa miaka tisini na kitu bado yupo hai? Afrika unaweza zikwa ukiwa hai.Hahaha Sasa mtu Yuko na miaka 80+ hukutaka afe !!!
Waafrica tuna shida Sana
Inatisha eehhMshana Jr vp inakuwaje watu wengi kwenye picha zilizowekwa humu waliopo upande wa kushoto hutangulia kufariki?