Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kipindi walizushiwa kifo kila mmoja kwa wakati wake
Ulicho quote hapo kina husiana nini na hii thread? grow up and act like a Man
Kaka ile safari yangu ya ziara ya mashariki ya kati ilishindikana kwa sababu anuwai..ila bado mipango ipo
Tusubiri vumbi litulie...sasa hivi si vema kusema kitu kuna TAHARUKIHawa wote hapo chini,kasoro mmoja wamefariki katika kipindi cha chini ya mwaka mmoja,huyo aliyezungushiwa duara amefariki leo hii asubuhi
Mshana Jr njoo utoe nenoView attachment 1723577
Sawa kaka acha tuvute subira....hakika muda ni mwalimu,mimi na wewe tunaweza kaa kimya ila muda ukifika utaongea wenyewe...............subiri niipitie tena ile thread ya karma niongeze maarifa kwa muda huuTusubiri vumbi litulie...sasa hivi si vema kusema kitu kuna TAHARUKI
Huyo chuma wa kati Mtasubiri sana hahahahahha
wa kwanza kushoto alikuwa nani?N.B WA KWANZA KUSHOTO KAANZA KUTANGULIA
Yap wamependezaPicha zinaongea, picha zinaishi picha zinatoa ujumbe maalum usioonekana kwa macho ya kawaida mpaka wakati ufike
Ukipata muda chukua album yako ya picha pitia picha za zamani ulizopiga na marafiki ndugu jamaa na hata watu usiowafahamu
- angalia mpangilio wa jinsi watu walivyosimama au kukaa nk
- angalia mpangilio wa rangi au mavazi
- angalia body language
Kwa mshangao wa ajabu utakuta kwenye picha fulani watu fulani waliosimama pamoja siku huyo au kuchuchumaa au kuvaa nguo za aina moja nk
- wote wamekufa
- wote ni matajiri
- wote wameoa/wameolewa nyumba moja
- wote tabia zao zinafanya nk
Kwa mshangao mkubwa angalia body language utajikuta unaona kabisa hao
- walikuja kuoana
- walikuja kuwa maadui wakubwa
- walikuja kuwa marafiki wa damu nk
Tunapojipanga tupige piga na kubadili badili mikao na nafasi si kwa akili zetu bali kuna nguvu nje ya ufahamu wetu nguvu ya kiroho ndio inafanya kazi
Ni nguvu hiyo inayoamua:
Usimame wapi na kwa nini
Ukae wapi na kwa nini
Ufuatane na nani na kwa nini
Umtazame nani na kwa nini
Ni nguvu ya uvutano kwenye ulimwengu wa roho inayotengeneza matukio yote haya na huja kudhihirika baada ya kipindi fulani kupita...haya yanatokea si kwa utashi wetu wala uamuzi wetu wala nguvu zetu
Sijapata picha nyingine lakini naomba kuweka hii
- angalia mfanano wa rangi za mavazi
- body language
- nafasi kwenye kusimama
- umbali na ukaribu
Unafikiri walipanga kwa makusudi huu mkao?
Lile swali la who is next halipo tena hapa.