Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Kijazi tarehe 17,2 na Magu tarehe 17,3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijazi tarehe 17,2 na Magu tarehe 17,3
Kamfuata Mugabe
Mwendazake MugabeYule mwenye tai nyekundu kule nyuma ni nani?
Mwendazake Mugabe
Haonekani vizuri ila anaonekana ana bodyguard nyuma labda ni Nkurunzinza ?Acha huyo, nilidhani yule kule nyuma kati ya Mugabe na JPM anajulikana.
hahahaaaaaHaonekani vizuri ila anaonekana ana bodyguard nyuma labda ni Nkurunzinza ?
Kwanza Magufuli alishahudhuria tukio gani kubwa tofauti na la uapisho wa Kagame tu ?hahahaaaaa
we jamaa umefanya nicheke bila kutarajia.
Hiyo ndo tunaita KU FORCE KING kwenye draft.
Kijazi na Maalim walikufa siku mojaWhat a coincidence.. Ni maalim sio KijaziView attachment 1729836
What a coincidence.. Ni maalim sio KijaziView attachment 1729836
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]TANZIA - Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia
Rais Magufuli ametangaza kwa masikitiko kifo cha Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John William Kijazi ambaye amefariki leo Februari 17 saa tatu usiku, Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma akipatiwa matibabu. Balozi John Kijazi enzi za uhai wake WASIFU WA BALOZI JOHN KIJAZI > Wasifu wa Katibu...www.jamiiforums.com
Si lazima iwe kifo lakini... Japo....Hatimaye je tuamini Tena jamaa ni next katika series hii?View attachment 1729875
Picha zinaongea, picha zinaishi picha zinatoa ujumbe maalum usioonekana kwa macho ya kawaida mpaka wakati ufike
Ukipata muda chukua album yako ya picha pitia picha za zamani ulizopiga na marafiki ndugu jamaa na hata watu usiowafahamu
- angalia mpangilio wa jinsi watu walivyosimama au kukaa nk
- angalia mpangilio wa rangi au mavazi
- angalia body language
Kwa mshangao wa ajabu utakuta kwenye picha fulani watu fulani waliosimama pamoja siku huyo au kuchuchumaa au kuvaa nguo za aina moja nk
- wote wamekufa
- wote ni matajiri
- wote wameoa/wameolewa nyumba moja
- wote tabia zao zinafanya nk
Kwa mshangao mkubwa angalia body language utajikuta unaona kabisa hao
- walikuja kuoana
- walikuja kuwa maadui wakubwa
- walikuja kuwa marafiki wa damu nk
Tunapojipanga tupige piga na kubadili badili mikao na nafasi si kwa akili zetu bali kuna nguvu nje ya ufahamu wetu nguvu ya kiroho ndio inafanya kazi
Ni nguvu hiyo inayoamua:
Usimame wapi na kwa nini
Ukae wapi na kwa nini
Ufuatane na nani na kwa nini
Umtazame nani na kwa nini
Ni nguvu ya uvutano kwenye ulimwengu wa roho inayotengeneza matukio yote haya na huja kudhihirika baada ya kipindi fulani kupita...haya yanatokea si kwa utashi wetu wala uamuzi wetu wala nguvu zetu
Sijapata picha nyingine lakini naomba kuweka hii
- angalia mfanano wa rangi za mavazi
- body language
- nafasi kwenye kusimama
- umbali na ukaribu
Unafikiri walipanga kwa makusudi huu mkao?
U're next John