Kuanzia kulia waliovaa suti ni list ya watakaoanza kujitoa WCB![]()
Picha itaongea hii tusubiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuanzia kulia waliovaa suti ni list ya watakaoanza kujitoa WCB![]()
Picha itaongea hii tusubiri
Walio mbele nyota zao zinafifia kwa kasi,wote kwa pamojaHifadhi hii kwa matumizi na kumbukumbu ya siku zijazo
Hao wote wanaume watakuja kia marais wa nchi hii.....mark these wordsSave this... For future reference.. This time next year View attachment 1504479
Alikua anaomboleza msiba wa mwenyekiti wake wa chamaKuna maana kubwa kwa HUSSEIN MWINYI kutovaa shati la kijani kwenye sherehe za ikulu ya Chamwino leo.
Ilhali wenzake wote wamevaa.
MUDA UTASEMA. View attachment 1505113
Wasaliti hawanaga kawaida ya kudumu kwenye nafasiWakuu vp tafsiri ya hii imekaajeView attachment 1515437
Picha zinaongea, picha zinaishi picha zinatoa ujumbe maalum usioonekana kwa macho ya kawaida mpaka wakati ufike
Ukipata muda chukua album yako ya picha pitia picha za zamani ulizopiga na marafiki ndugu jamaa na hata watu usiowafahamu
- angalia mpangilio wa jinsi watu walivyosimama au kukaa nk
- angalia mpangilio wa rangi au mavazi
- angalia body language
Kwa mshangao wa ajabu utakuta kwenye picha fulani watu fulani waliosimama pamoja siku huyo au kuchuchumaa au kuvaa nguo za aina moja nk
- wote wamekufa
- wote ni matajiri
- wote wameoa/wameolewa nyumba moja
- wote tabia zao zinafanya nk
Kwa mshangao mkubwa angalia body language utajikuta unaona kabisa hao
- walikuja kuoana
- walikuja kuwa maadui wakubwa
- walikuja kuwa marafiki wa damu nk
Tunapojipanga tupige piga na kubadili badili mikao na nafasi si kwa akili zetu bali kuna nguvu nje ya ufahamu wetu nguvu ya kiroho ndio inafanya kazi
Ni nguvu hiyo inayoamua:
Usimame wapi na kwa nini
Ukae wapi na kwa nini
Ufuatane na nani na kwa nini
Umtazame nani na kwa nini
Ni nguvu ya uvutano kwenye ulimwengu wa roho inayotengeneza matukio yote haya na huja kudhihirika baada ya kipindi fulani kupita...haya yanatokea si kwa utashi wetu wala uamuzi wetu wala nguvu zetu
Sijapata picha nyingine lakini naomba kuweka hii
- angalia mfanano wa rangi za mavazi
- body language
- nafasi kwenye kusimama
- umbali na ukaribu
Unafikiri walipanga kwa makusudi huu mkao?
Picha ktk ulimwengu wa kiroho hawa wote walikufa kwa ugonjwa wa moyo.Picha zinaongea, picha zinaishi picha zinatoa ujumbe maalum usioonekana kwa macho ya kawaida mpaka wakati ufike
Ukipata muda chukua album yako ya picha pitia picha za zamani ulizopiga na marafiki ndugu jamaa na hata watu usiowafahamu
- angalia mpangilio wa jinsi watu walivyosimama au kukaa nk
- angalia mpangilio wa rangi au mavazi
- angalia body language
Kwa mshangao wa ajabu utakuta kwenye picha fulani watu fulani waliosimama pamoja siku huyo au kuchuchumaa au kuvaa nguo za aina moja nk
- wote wamekufa
- wote ni matajiri
- wote wameoa/wameolewa nyumba moja
- wote tabia zao zinafanya nk
Kwa mshangao mkubwa angalia body language utajikuta unaona kabisa hao
- walikuja kuoana
- walikuja kuwa maadui wakubwa
- walikuja kuwa marafiki wa damu nk
Tunapojipanga tupige piga na kubadili badili mikao na nafasi si kwa akili zetu bali kuna nguvu nje ya ufahamu wetu nguvu ya kiroho ndio inafanya kazi
Ni nguvu hiyo inayoamua:
Usimame wapi na kwa nini
Ukae wapi na kwa nini
Ufuatane na nani na kwa nini
Umtazame nani na kwa nini
Ni nguvu ya uvutano kwenye ulimwengu wa roho inayotengeneza matukio yote haya na huja kudhihirika baada ya kipindi fulani kupita...haya yanatokea si kwa utashi wetu wala uamuzi wetu wala nguvu zetu
Sijapata picha nyingine lakini naomba kuweka hii
- angalia mfanano wa rangi za mavazi
- body language
- nafasi kwenye kusimama
- umbali na ukaribu
Unafikiri walipanga kwa makusudi huu mkao?
Unajua hii mada ni zaidi ya waliofariki.. Kuna tafsiri nyingi kwenye kila picha za pamoja, na sometimes unaweza usipate tafsiri yoyote mpaka upate fununu fulani kwenye picha husikaHuyo mama apo kashafariki Mshana Jr njoo utafsir hukuView attachment 1740756
Picha zinaongea, picha zinaishi picha zinatoa ujumbe maalum usioonekana kwa macho ya kawaida mpaka wakati ufike
Ukipata muda chukua album yako ya picha pitia picha za zamani ulizopiga na marafiki ndugu jamaa na hata watu usiowafahamu
- angalia mpangilio wa jinsi watu walivyosimama au kukaa nk
- angalia mpangilio wa rangi au mavazi
- angalia body language
Kwa mshangao wa ajabu utakuta kwenye picha fulani watu fulani waliosimama pamoja siku huyo au kuchuchumaa au kuvaa nguo za aina moja nk
- wote wamekufa
- wote ni matajiri
- wote wameoa/wameolewa nyumba moja
- wote tabia zao zinafanya nk
Kwa mshangao mkubwa angalia body language utajikuta unaona kabisa hao
- walikuja kuoana
- walikuja kuwa maadui wakubwa
- walikuja kuwa marafiki wa damu nk
Tunapojipanga tupige piga na kubadili badili mikao na nafasi si kwa akili zetu bali kuna nguvu nje ya ufahamu wetu nguvu ya kiroho ndio inafanya kazi
Ni nguvu hiyo inayoamua:
Usimame wapi na kwa nini
Ukae wapi na kwa nini
Ufuatane na nani na kwa nini
Umtazame nani na kwa nini
Ni nguvu ya uvutano kwenye ulimwengu wa roho inayotengeneza matukio yote haya na huja kudhihirika baada ya kipindi fulani kupita...haya yanatokea si kwa utashi wetu wala uamuzi wetu wala nguvu zetu
Sijapata picha nyingine lakini naomba kuweka hii
- angalia mfanano wa rangi za mavazi
- body language
- nafasi kwenye kusimama
- umbali na ukaribu
Unafikiri walipanga kwa makusudi huu mkao?
Inamaana Kikwete na Mwinyi hawatakufa?
Dmx na aaliyahKwanini?