Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Lakini hii utokana na nini hasa na ina maanisha nini kwa nini naota ndoto moja yenye series na asubuhi yake najikuta katika hali kama hii nini hasa chanzo au ni dalili ya nini je naye pia atakuwa anaota kama mimj niotavyo?
Kuna memory imestick haifutiki .. Naye anaweza pia akawa anaota ila inategemea na memory yake
Soma hii
 
Mkuu una ufahamu usio wa kawaida. Akili ndogo mara nyingi huwa hazikuelewi na kuishia kudhani unazungumzia uchawi.

Picha chini inaonesha marais wote wa Kenya, Jomo Kenyatta, Daniel Arap Moi, Mwai Kibaki na Uhuru Kenyatta.

117881_01_n_20130322150940.jpg
nimeipenda hii.. swala linakuja kwa huyo Uhuru na udogo wote alikua akifanya nn hapo
 
Kutoka kushoto ~ Habibu R Halahala -Mwandishi wa Raisi AH Mwinyi, Paul Sozigwa Mkurugenzi wa Radio Tanzania Dar-es-Salaam, Mwalimu Julius Nyerere, Brigedia Hashim Mbita Mkurugenzi wa Kamati ya Africa ya Ukombozi wa nchi zilizo kwenye ukoloni Africa na Mwamba Benjamin W Mkapa, wote hatunao hapa duniani

R.I.P
 
Back
Top Bottom