Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #1,601
#Repost @chomozanews with @get.repost
・・・
Nani bado unamkumbuka Kijana mwana muziki aliyeitikisa dunia kwenye ulimwengu wa mihondoko ya hiphop, Tupac Shakur?
Pembeni yake ni mwanamke aliye fahamika, kwa Jina la Ayanna Jackson, ndiye aliyemuibulia tuhuma za kumbaka.
Nyuma yake ni Haitan, Ndiye aliyempiga risasi maeneo ya Quad Recording studio NYC.
Pembeni yake ni meneja wake aliyeandaa mpango wa kuuwawa kwake.
Tumezungukwa na maadui 9 kati ya watu 10 tunaoishi nao,na kula nao Kila siku.
Mungu akifungua mioyo ya watu walio kuzunguka, Iwe wazi mbele yako Utashangaa anayetamani ufe ni mtu anayekuambia kila siku ninakuombea. Mtu unayemlisha ndie anadhamini mpango wa kuua biashara yako au kuutoa uhai wako.
Naomba na Kukuombea Asubuhi ya Leo Mungu akulinde kutoka kwa marafiki na unaowapenda, Maana daima tuna watunza na kuwasaidia "maadui" tunaowajua bila Kujijua.
[emoji117]Warumi 12:17 -21
Msimlipe mtu ovu kwa ovu. Angalieni yaliyo mema machoni pa watu wote.Kama yamkini, kwa upande wenu, mkae katika amani na watu wote.
Wapenzi, msijilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, Kisasi ni juu yangu mimi; mimi nitalipa, anena Bwana.Lakini, Adui yako akiwa na njaa, mlishe; akiwa na kiu, mnyweshe; maana ufanyapo hivyo, utampalia makaa ya moto kichwani pake.
Usishindwe na ubaya, bali uushinde ubaya kwa wema.
[emoji117]Zaburi 23:4
Naam, nijapopita kati ya bonde la uvuli wa mauti, Sitaogopa mabaya; Kwa maana Wewe upo pamoja nami, Gongo lako na fimbo yako vyanifariji.
[emoji3578]@prophetclearmalisa