Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

Haji Manara na wakeze
FB_IMG_1668587975713.jpg
 
Hapana hii sijawahi fanya mimi nimefanya sana:

Empty meditation
Wall meditation
Breathing meditation
Na matokeo unayaona.
Niambie sasa hivi utakua na uwezo mkubwa sana. Kama what you think it becomes.
Uki desire kitu unakipata, yaani your higherself within you knows how to make it happen right?
 
Na matokeo unayaona.
Niambie sasa hivi utakua na uwezo mkubwa sana. Kama what you think it becomes.
Uki desire kitu unakipata, yaani your higherself within you knows how to make it happen right?
Changamoto za maisha zinaturudisha nyuma kwenye hayo mambo
 
Nimemuangalia huyu aliyejitenga hapo namna anawaangalia wenzake, rangi ya nguo aliyovaa na namna ameweka mikono.

Nikajisema dunia ina mambo
Huyu alisalimika? Lakini pia hiyo body language yake inaongea mengi sana
 
Mimi naamini ni muda na mapito ambayo binadamu lazima apitie kutoka kuzaliwa, kuishi hadi kufa kwake, nikiwa namaanisha muda kati ya kipindi picha inapigwa na muda ambao wewe unakuja kuiangalia kuna mengi yametokea hapo kati kati (hayakua na budi kutokea) pia kumbuka hata mentality yako itakua imebadilika hasa baada ya kusikia hii habari na kuanza kuhusianisha na unayoyaona kwenye picha, maana mara baada ya kuchukua picha automatically utaanza kupimanisha vitu vingi kama vifo,mafanikio,uhusiano,n.k ili mradi tu vi match na mentality yako[emoji120]
 
Back
Top Bottom