Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ngumu sana kuamini kama jamaa anakula peke yakeHaji Manara na wakezeView attachment 2418383
[emoji108][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 390631
Hakika picha zinaongea, hii ina picha ndani ya picha......akhsante mkuu Mshana
Duh [emoji2]View attachment 390631
Hakika picha zinaongea, hii ina picha ndani ya picha......akhsante mkuu Mshana
🤣🤣mi nishaacha kupiga picha na watu, sitaki preshaUnaweza kuogopa kupiga picha hasa za pamoja [emoji3]
Hii picha imeongea kweli, tusubiri Lavalava nae atatoka!! Ila huyu haweziiWalivojipanga Rich Mavoko alianza kutoka, akaja Harmonize, Anayemfuatia ni Rayvann je nae siku zinahesabika??
Na matokeo unayaona.Hapana hii sijawahi fanya mimi nimefanya sana:
Empty meditation
Wall meditation
Breathing meditation
Changamoto za maisha zinaturudisha nyuma kwenye hayo mamboNa matokeo unayaona.
Niambie sasa hivi utakua na uwezo mkubwa sana. Kama what you think it becomes.
Uki desire kitu unakipata, yaani your higherself within you knows how to make it happen right?
Ni kweli nakubali, mi kuna kipindi nilikua na meditate daily, alas, changamoto zinakuzonga hata hufanyiChangamoto za maisha zinaturudisha nyuma kwenye hayo mambo
Bonge la picha
Nimeisoma pia hii ajaliNimeona hii picha mahali ghafla nkaukumbuka huu uzi
View attachment 2431679
Nimemuangalia huyu aliyejitenga hapo namna anawaangalia wenzake, rangi ya nguo aliyovaa na namna ameweka mikono.Nimeisoma pia hii ajali
Nimeona hii picha mahali ghafla nkaukumbuka huu uzi
View attachment 2431679
Dah! Gone too soon.... Vijana wadogo mnoPicha imesema kweli hapo hao wawilinkutoka kushoto wamefariki kama walivyokaa hapo.View attachment 2443188